Kituo cha habari cha Dunyabulteni kimetangaza kuwa kikao hicho kitahudhuriwa na wataalamu wa masuala ya uchumi, wahadhiri wa vyuo vikuu na wawakilishi wa bunge la Uturuki.
Miongoni mwa maudhui zitakazojadiliwa katika kikao hicho ni mazungumzo kuhusu benki na mfumo wa fedha wa Kiislamu, uongozi wa Kiislamu, siasa za kijamii katika Uislamu na bima na biashara katika sheria za Kiislamu. 705988