Dakta Nadia Achehboun, mtaalmu wa elimu jamii, mwanahistoria Kamel Meziti na Martine Cohen ambaye ni mtaalamu wa elimu jamii ni miongoni mwa wasomi watakaohutubia mkutano huo.
Mkutano huo unasimamiwa na Jumuiya ya Urafiki wa Uislamu na Uyahudi ya Ufaransa (AJMF). 754560