Semina hiyo imeandaliwa na Jumuiya ya Ahlul Beit ya Mjini London pamoja na jumuiya ya Walebanoni wanaoishi katika mji huo. Sayyid Muhammad Said Bahman Pur Mkuu wa Chuo cha Kiislamu cha London atazungumza katika semina hiyo itakayoanza saa 10.30 kwa wakati wa London kuhusiana na mawalii wa Mwenyezi Mungu. Hakika na subira na hatima ya madhalimu ni maudhui nyingine zitakazozungumziwa na wanazuoni wa Kiislamu watakaoshiriki katika kikao hicho. 770108