IQNA

Wiki ya mkutano wa Uislamu na Ukristo kufanyika Ulaya

12:33 - May 05, 2011
Habari ID: 2117737
Wiki ya Mazungumzo Baina ya Uislamu na Ukristo itaanza tarehe 17 Novemba katika nchi mbalimbali za Ulaya.
Shughuli za wiki hiyo zitasimamiwa na Jumuiya ya Urafiki kati ya Uislamu na Ukristo ya Ufaransa (GAIC) kwa shabaha ya kuwahamasisha Waislamu na Wakristo wa Ulaya kufanya mazungumzo na kutayarisha uwanja mzuri wa maisha bora na ya amani.
Vikao karibu mia moja vimefanyika mwaka jana kati ya Uislamu na Ukristo katika zaidi ya miji 62 ya Ulaya na Jumuiya ya Urafiki kati ya Uislamu na Ukristo inakusudia kuitisha vikao kama hivyo mwaka huu katika miji zaidi ya bara hlo. 786569
captcha