Gazeti la Daily Times limeandika kuwa maonyesho hayo yalianza jana katika jumba la sanaa la al Hamraa chini ya usimamizi wa Kitivo cha Sanaa za Kitaifa cha Pakistan.
Katika maonyesho hayo wanafunzi wa kitivo hicho cha sanaa wanaonyesha sanaa ya kuandika aya za Qur'ani Tukufu kwa mwandiko nzuri na wa kuvutia.
Maonyesho hayo yataendelea kwa kipindi cha wiki moja. 922147