IQNA

Ibada ya Hija mjini Makka katika mwaka 1441 Hijria

11:47 - July 30, 2020
Habari ID: 3473014
TEHRAN (IQNA) – Waislamu wameanza kutekeleza ibada katika mji mtakatifu wa Makka.

Kufuatia kuibuka janga la COVID-19, idadi ya mahujaji mwaka huu ni 1,000 tu na wote ni wakaazi wa Saudi Arabia ambapo 700 miongoni mwao ni raia wa kigeni wanaofanya kazi nchini humo. Hatua kali zimechukuliwa kuzuia kueneza ugonjwa wa COVID-19.

 

Kishikizo: Hija ، Makka ، covid 19
Jina:
Baruapepe:
* maoni:
captcha