IQNA

18:19 - December 15, 2020
Habari ID: 3473459
TEHRAN (IQNA) – Televisheni ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi karibuni ilirusha hewani qiraa ya qarii wa Misri marhuma Sheikh Khalil Al-Hussary.

Televisheni hiyo imemuoneysha Qarii  Al-Hussary akisoma aya za Surah Maryam ya Qur'ani Tukufu.

Marhum Sheikh Mahmoud Khalil Al-Hussary alizaliwa Septemba 17 1917 na alikuwa miongoni mwa wasomaji mashuhuri wa Qur'ani nchini Misri.

Sheikh Al-Hussary ambaye alifarikia 24 Novemba 1980 akiwa safarini nchini Kuwait alikuwa akiandamana sana na marhum Sheikh Abdul Basit na Sheikh Mustafa Ismail.

کد ویدیو

3941112

Kishikizo: hussary ، misri ، qiraa ، qurani tukufu
Jina:
Baruapepe:
* maoni:
* captcha: