TEHRAN (IQNA)- Marhum Sheikh Mahmoud Khalil al-Hussary alizaliwa Septemba 17 1918 na alikuwa miongoni mwa wasomaji mashuhuri wa Qur'ani nchini Misri.
Sheikh al-Hussary ambaye alifarikia 24 Novemba 1980 alikuwa akiandamana sana na marhum Sheikh Abdul Basit na Sheikh Mustafa Ismail.
Katika klipu hii anaonekana akisoma Qur'ani Tukufu akiwa na vazi la Ihramu.