IQNA

Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani Tukufu: Tartili ya Juzuu ya 16

11:53 - March 06, 2026
Habari ID: 3482018
IQNA – Ifuatayo ni qiraa ya tartili ya Juzuu ya 16 ya Qur’ani Tukufu, ambayo imesomwa na qari mashuhuri wa Iran, Ustadh Qassem Moqaddami. Jiungeni na IQNA kila siku katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu, kwa lengo la kukamilisha au kuhitimisha usomaji wa Qur’ani nzima ifikapo mwisho wa mwezi huu uliobarikiwa.

Daily Quran Recitation: Tarteel of Juz 16

Kishikizo: juzuu qurani tukufu
captcha