IQNA

11:50 - March 14, 2026
Habari ID: 3482056

Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani Tukufu: Tartili ya Juzuu ya 24

IQNA – Ifuatayo ni qiraa ya tartili ya Juzuu ya 24 ya Qur’ani Tukufu, ambayo imesomwa na qari mashuhuri wa Iran, Ustadh Qassem Moqaddami. Jiungeni na IQNA kila siku katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu, kwa lengo la kukamilisha au kuhitimisha usomaji wa Qur’ani nzima ifikapo mwisho wa mwezi huu uliobarikiwa.

Qiraa ya Kila Siku ya Qur’ani Tukufu: Tartili ya Juzuu ya 24

Daily Quran Recitation: Tarteel of Juz 24

Kishikizo: juzuu qurani tukufu
captcha