IQNA

Huduma kwa Mazuwar wa Arbaeen katika Kivuko cha Mpaka cha Shalamcheh

14:34 - August 03, 2026
Habari ID: 3482576
IQNA – Matembezi ya Arbaeen, mkusanyiko mkubwa zaidi wa kidini duniani, huwaleta mamilioni ya wapenzi na wafuasi wa Ahl-ul-Bayt (AS) kutoka mataifa mbalimbali katika mji mtukufu wa Karbala kila mwaka.

Katika njia hii yote, Mawkib (vituo vya huduma za hisani) vinachukua nafasi muhimu sana katika kuwahudumia mazuwari kwa kuwapatia huduma mbalimbali za kijamii, kitiba, na kiutamaduni, na hivyo kudhihirisha kwa vitendo umoja, huruma, na ukarimu wa watu wa nyumba ya Mtume.

.

 
captcha