iqna

IQNA

Ufilipino
Uislamu nchini Ufilipino
TEHRAN (IQNA) – Bunge nchini Ufilipino limepitishwa sheria ya kuitangaza Februari 1 kila mwaka kuwa Siku ya Kitaifa ya Hijabu ili kuongeza ufahamu wa desturi za Waislamu.
Habari ID: 3476101    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/17

Kuhifadhi Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Mtoto wa miaka mitano wa Ufilipino ameweza kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamiliofu katika kumbukumbu yake.
Habari ID: 3475766    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/11

TEHRAN (IQNA)- Wanawake Waislamu wanaohudumu katika Kikosi cha Gadi ya Pwani ya Ufilipino sasa wanaruhusiwa kuvaa Hijabu ikiwa ni katika jitihada za kuwahimiza wanawake Waislamu wajiunge na kikosi hicho.
Habari ID: 3474888    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/04

TEHRAN (IQNA)- Waislamu katika eneo la Ufilipino lenye mamlaka ya ndani la Bangsamoro wanaadihimisha mwaka wa tatu tokea wapate mamlaka ya dani ya kujitawala.
Habari ID: 3474821    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/18

TEHRAN (IQNA) - Bunge la Ufilipino mnamo Januari 26, 2021, limepiga kura ya kuidhinisha Februari 1 kila mwaka kuwa ‘Siku ya Kitaifa ya Hijabu’.
Habari ID: 3473594    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/27

TEHRAN (IQNA) – Kitabu kuhusu Nafasi ya Waislamu katika Utamaduni wa Ufilipino kilichoandikwa na mwambata za zamani wa utamaduni wa Iran katika nchi hiyo ya kusini mwa Asia kimezinduliwa.
Habari ID: 3472987    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/22

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 46 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu yamefanyika nchini Ufilipino ambapo rais Rodrigo Duterte wa nchi hiyo amewatumia washiriki ujumbe maalumu.
Habari ID: 3472532    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/05

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wasiopungua wasiopungua wawili wameuawa na wengine wanne kujeruhiwa kufuatia hujuma ya gurunedi dhidi ya msikiti kusini mwa Ufilipino .
Habari ID: 3471826    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/01

TEHRAN (IQNA)-Bunge la Ufilipino limepitisha muswada wa sheria ya kutangaza tarehe mosi Februari kila mwaka kuwa Siku ya Kitaifa ya Hijabu nchini humo.
Habari ID: 3471201    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/02