IQNA- Katika hafla ya kipekee iliyofanyika pembezoni mwa Kongamano la 30 la Qur'an Tukufu, lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam, Tanzania, Tafsiri mpya ya Qur’an Tukufu kwa lugha ya Kiswahili imezinduliwa rasmi.
Habari ID: 3480722 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/22
Tafsiri ya kwanza ya Qur’ani katika zama hizi nchini Algeria imechapishwa kwa anuani ya Ad Darul Thamin Fi Tafsir al Quran na imeandikwa na Allamah At-Tawati bin At-Tawati.
Habari ID: 3470228 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/05