TEHRAN (IQNA)- Jeshi la utawala haramu wa Israel limeua zaidi ya Wapalestina 254 na kuwajeruhi wengine wasiopungua 23,000 tokea yaanze 'Maandamano Makubwa ya Haki ya Kurejea' ambayo yalianza kufanyika kila Ijumaa kuanzia Machi 30 mwaka 2018.
Habari ID: 3471816 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/23
TEHRAN (IQNA)-Msikiti wa Jamia katika mji mkuu wa Russia, Moscow, umeanzisha mpango maalumu wa kusoma (qiraa) Qur'ani Tukufu kwa muda wa masaa 24 kila siku.
Habari ID: 3471815 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/22
TEHRAN (IQNA)-Mhubiri mashuhuri Saudi Arabia, Ahmed al-Amari, amefariki mjini Jeddah, Saudi Arabia.
Habari ID: 3471813 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/21
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la Kimataifa la Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu limefanyika nchini Misri na kuwaleta pamoja wawakilishi wa nchi 40.
Habari ID: 3471812 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/20
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa vikali hatua ya Myanmar kuendelea Waislamu wa jamii ya Rohingya kurejea nchini humo.
Habari ID: 3471811 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/19
TEHRAN (IQNA)- Mashirika ya kutetea haki za raia nchini Marekani yamemlaani rais Donald Trump wa nchi hiyo kwa kumteua mtu mwenye chuki dhidi ya Uislamu kuwa naibu mshauri wa usalama wa taifa.
Habari ID: 3471810 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/18
TEHRAN (IQNA)-Maafisa wa usalama wa Marekani wamemkamata mtangazaji mashuhuri wa Televisheni ya Press TV Bi. Marzieh Hashemi ambapo wamemvua hijabu yake na kumlisha nyama ya nguruwe.
Habari ID: 3471809 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/17
TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wa kundi la Al Shabab Jumanne walihujumu hoteli ya kifahari mjini Nairobi, Kenya na kuua watu 21.
Habari ID: 3471808 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/16
TEHRAN (IQNA)- Wazayuni wameshindwa kubatilisha uamuzi wa mahakama ya Uingereza ambaye imekataa kumfungulia mashtaka mwanaharakati wa Palestina kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds mjini London mwaka 2017.
Habari ID: 3471807 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/15
TEHRAN (IQNA)- Tafsiri ya kwanza ya Qur'ani Tukufu lwa lugha ya Amazigh imezinduliwa nchini Algeria.
Habari ID: 3471806 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/14
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu ya Misri imetangaza kufungua shule mpya 26 za Qur'ani Tukufu katika jimbo la El Wadi El Gedid.
Habari ID: 3471805 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/13
TEHRAN (IQNA)- Mtoto mvulana wa Kipalestina mwenye umri minane amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu miezi minane tu baada ya kuanza zoezi la kuhifadhi.
Habari ID: 3471803 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/12
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria kuendelea kudhoofika mpaka leo vyombo vya mikakati na mahesabu vya Marekani ni ukweli halisi wa mambo na akafafanua kwa kusema: "Baadhi ya viongozi wa Marekani hujifanya na hutaka waonekane wendawazimu, tab'an mimi hili sikubaliani nalo, lakini lililo hakika, wao ni "wapumbavu wa daraja la kwanza".
Habari ID: 3471802 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/10
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa kifalme wa Saudi Arabia umeanza mradi wa kuwatimua wakimbizi Waislamu wa jamii wa Rohingya ambao walikimbia mateso na mauaji ya kimbari katika nchi yao ya jadi, Myanmar.
Habari ID: 3471801 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/09
TEHRAN (IQNA)- Jamii nyingi za Waislamu nchini Marekani sasa zinakumbwa na tatizo la ukosefu wa Maimamu waliohitimu wenye uwezo wa kuongeza sala, kufanya kazi na vijana na kuongoza jamii ipasavyo.
Habari ID: 3471800 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/08
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa China umepitisha sheria mpya ya kuufanya Uislamu nchini humo uendane na itikadi ya 'Usosholisti wa Kichina' katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Habari ID: 3471799 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/07
Rais Al Bashir
TEHRAN (IQNA)- Rais Omar al Bashir wa Sudan amefichua kuwa: "Tulishauriwa tuwe na uhusiano wa kawaida na Israel ili hali ya nchi yetu iboreke."
Habari ID: 3471797 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/05
TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar kimetangaza masharti kwa wanaotaka kushiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani yanayaondaliwa na chuo hicho katika mwaka huu wa 1440 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3471796 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/03
TEHRAN (IQNA)-Wakuu wa utawala wa China wamefunga misikiti mitatu katika mji wa Weishan katika mkoa wa Yunnan kusini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3471795 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/02
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe wa pongezi viongozi na mataifa ya Wakristo kwa munasaba wa kuanza mwaka mpya wa 2019 Miladia.
Habari ID: 3471793 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/01