iqna

IQNA

Jinai za Israel
IQNA - Harakati ya Muqawama ya Lebanon, Hizbullah,  imetoa rambirambi kwa kuuawa shahidi Mohammad Afif al-Nablusi katika shambulio la Israel lililolenga jengo moja katikati mwa Beirut.
Habari ID: 3479769    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/18

Jinai za Israel
IQNA-Mohammad Afif, msemahi Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameuawa shahidi katika shambulio la utawala wa Kizayuni huko Ras al-Naba, Beirut mji mkuu wa Lebanon.
Habari ID: 3479766    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/17

Diplomasia
IQNA - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza haki isiyopingika ya Iran kujibu kitendo cha kichokozi cha hivi karibuni cha utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3479662    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/28

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
TEHRAN (IQNA) -Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, kusema urongo na kueneza chuki ni viungo muhimu katika sera za kigeni za Marekani.
Habari ID: 3472946    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/10