iqna

IQNA

Shoaisha
TEHRAN (IQNA) – Mwaka 1994, qarii mashuhuri wa Misri marhum Sheikh Abolainain Shoaisha alitembelea Iran ambapo alishiriki katika kikao cha qiraa ya Qur'ani Tukufu katika Haram ya Hadhrat Abdul Adhim Hassani AS mjini Tehran.
Habari ID: 3473691    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/01

TEHRAN (IQNA) –Klipu mpya ya video inamuonyesha qarii mashuhuri wa Misri marhum Sheikh Abolainain Shoaisha akisoma aya za Surah al-Infitar ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3473002    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/26