IQNA – Profesa Ali Montazeri, Mkuu wa Akademia ya Kitaifa cha Elimu, Utamaduni na Utafiti ( ACECR ) nchini Iran, amesema kuwa lengo la mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran ni kuzuia maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia ya taifa hilo.
Habari ID: 3480977 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/21
IQNA – Washiriki wa baraza la utungaji sera kwa ajili ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu wametangazwa.
Habari ID: 3480678 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/13
IQNA – Kadri maandalizi ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu yanavyoendelea, tarehe ya mwisho kwa washiriki wa sehemu ya Teknolojia na Ubunifu Kuhusu Qur’ani inakaribia.
Habari ID: 3480534 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/13
IQNA – Maafisa wa Makao Makuu ya Uratibu wa Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Iran yalifanya mkutano siku ya Jumamosi mjini Tehran.
Habari ID: 3479268 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/12
Wasomi Waislamu
IQNA - Rais wa Akademia ya Elimu, Utamaduni na Utafiti ya Iran ( ACECR ) ameisitiza haja ya kuchunguza maoni ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu marehemu mwanasayansi wa Iran Dakta Saeid Kazemi Ashtiani.
Habari ID: 3478152 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/05
TEHRAN (IQNA)- Lugha ya Kireno sasa ni lugha ya 21 katika Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA).
Habari ID: 3474737 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/29
TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Akademia ya Elimu, Utamaduni na Utafiti Iran ( ACECR ) amesema academia hiyo inapaswa kuongoza duniani katika ustawi wa sayansi na teknolojia.
Habari ID: 3473037 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/05