IQNA – Kongamano la wasomi kuhusu hadithi za Nahj al-Balagha ilifanyika katika mji mtakatifu wa Karbala, Iraq.
Idara ya Uhuishaji wa Urithi na Dar-ul-Ulum ya Nahj al-Balagha, inayohusiana na Idara ya Mfawidhi wa kaburi takatifu la HadhratAbbas (AS), iliandaa tukio hilo.
Habari ID: 3480630 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/03
Utafiti
IQNA – Kitabu cha lugha ya Kiarabu, "Yote ya Nahj al-Balagha," (Tamam Nahj al Balagha) kinatoa mkusanyiko uliotafitiwa na kamili wa maneno ya Imam Ali (AS). Kimekusanywa na Hujjatul Islam Seyyed Sadeq Mousavi, msomi kutoka Mashhad, kazi hii inalenga kushughulikia mapengo ya kihistoria na changamoto katika kuelewa asili ya maneno ya Imam Ali (AS) kama yalivyowasilishwa katika Nahj al-Balagha, mkusanyiko maarufu unaohusishwa na Sharif Razi.
Habari ID: 3480074 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/18
Ahl-ul-Bayt (AS)
Katibu Mkuu wa Majlisi ya Ahl-ul-Bayt (AS) ya Dunia amesema Nahj-al-Balagha inapaswa kuletwa kwa walimwengu na mafunzo yatolewe humo katika nyanja tofauti.
Habari ID: 3479052 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/02
Njia ya Ustawi/ 6
TEHRAN (IQNA) – Mafundisho ya Uislamu yanasisitiza juu ya Tarbiyah au malezi ya nafsi, ambayo ina maana ya kurekebisha na kuitakasa tabia.
Habari ID: 3477977 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/02
Nukuu kutoka kwa Nahj al-Balagha /3
TEHRAN (IQNA) – Kwa mtazamo wa Imam Ali (AS), serikali ni njia tu ya kufikia malengo ya juu kama vile uadilifu wa kijamii. Mtazamo huu unaonekana kwa uzuri katika kitabu kikuu Nahj al-Balagha, ambacho ni mkusanyo wa maneno yake.
Habari ID: 3476189 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/03
Nukuu kutoka kwa Nahj al-Balagha / 1
TEHRAN (IQNA) – Mwanasosholojia na mtafiti anasema tunapaswa kuwa na ufahamu mpya wa Imam Ali (AS) kwani alikuwa mwanafikra wa hadhi ya juu na hilo linadhihirika wakati unaporejea kwenye vipengele vya kimaanawi na kiroho vya fikra zake.
Habari ID: 3476091 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/15
Habari ID: 3470254 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/19