Sheikh Nuruddin Attar

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Sheikh Nuruddin Attar, mfasiri na hafidh maarufu wa Qur’ani Tukufu nchini Syria ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 83.
Habari ID: 3473199   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/24