iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa Nizamyie ( Nizamiye Masjid) ni msikiti ulioko katika mji wa Midrand, katika Manispaa ya Johanesburg nchini Afrika Kusini.
Habari ID: 3473413    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/01