iqna

IQNA

IUMS
Kadhia ya Palestina
IQNA - Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu ( IUMS ) amesema nchi za Kiislamu zinapaswa kuunga mkono kikamilifu Afrika Kusini katika kesi yake ya kisheria dhidi ya utawala wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ)
Habari ID: 3478502    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/13

Hali ya Gaza
IQNA – Jumuiya ya Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu ( IUMS ) imetoa wito kwa Waislamu kutoa Zaka na sadaqa katika mwezi mtukufu wa Ramadhani ili kuwaunga mkono watu wa Gaza.
Habari ID: 3478488    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/11

Watetezi wa Palestina
IQNA-Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema utawala haramu wa Israel umeshindwa kufikia malengo yake yoyote baada ya takriban siku 100 za vita vya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478183    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/11

Watetezi wa Palestina
DOHA – IQNA: Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu ( IUMS ) umetoa wito wa kufanyika maandamano na mikutano kote duniani Ijumaa hii kuunga mkono Wapalestina wanakandamizwa Gaza na Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) sambamba na kulaani utawala wa dhalimu wa Israel.
Habari ID: 3478000    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/07

Kadhia ya Palestina
DOHA (IQNA) - Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu ( IUMS ) ulitoa fatwa siku ya Jumanne, ukizitaka nchi za Kiislamu kuingilia kati ili kuwaokoa watu wa Gaza kutokana na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3477825    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/01

Chuki dhidi ya Kiislamu
DOHA (IQNA) - Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu ( IUMS ) umetoa wito wa kuwepo kwa mahubiri ya kila wiki katika misikiti kulaani kitendo cha hivi karibuni cha kuteketeza moto Qur'ani Tukufu chini Uswidi.
Habari ID: 3477245    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/06

Taazia
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu kutoka Misri Sheikh Youssef al-Qaradawi amefariki dunia siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3475845    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/26

Waislamu duniani
TEHRAN (IQNA) - Rais mpya wa Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu ( IUMS ) aliteuliwa.
Habari ID: 3475765    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/11

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni wa Kiislamu ( IUMS ) amelaani hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano na muungano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kusaini mikataba ya mapatano na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3474612    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/28

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa Waislamu ( IUMS ) imetoa Fatwa inayobainisha kuwa, kuunga mkono Palestina ni jukumu la Kiislamu.
Habari ID: 3473922    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/18

TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni wa Kiislamu imelaani wito wa serikali ya Ufaransa iliyowataka maimamu wa misikiti nchini humo kubariki na kuhalalisha ndoa baina ya mashoga na watu wenye jinsia moja, ikisisitiza kuwa wito huo unaonyesha msimamo wa kindumakuwili dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3473765    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/28

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu ( IUMS ) imelaani vikali hatua ambazo serikali ya Ufaransa inachukua dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3473587    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/25

TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu ( IUMS ) imetoa fatua ya kuususia kikamilifu utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kutangaza kwamba, haijuzu kuuuzia wala kununua chochote kinachozalishwa na utawala huo mpaka utakapokomesha ukaliaji wake ardhi kwa mabavu.
Habari ID: 3473524    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/04