IQNA-Sheikh Naim Qassem, kiongozi wa harakati ya muqawama ya Lebanon Hizbullah ameeleza kuwa Israel si tu kuwa inaikalia kwa mabavu Palestina bali ni tishio la kimkakati kwa Lebanon, Misri, Syria, Jordan, na ni tishio pia kwa amani na usalama wa kanda hii na dunia nzima kwa ujumla.
Habari ID: 3480888 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/03
Muqawama
IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah Sheikh Naim Qassem amewaandikia barua wapiganaji wa harakati hiyo ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, akiwapongeza kwa mapambano ya kujivunia wanayoyaendeleza katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel na waungaji mkono wake.
Habari ID: 3479749 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/14
Muqawama
IQNA - Katibu Mkuu mpya wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuendelea kwa mapambano ya kuvuruga njama za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya eneo zima la Asia Magharibu na kusema kuwa Mapambano ya Kiislamu (muqawama) Gaza na Lebanon ni kielelezo cha adhama ambacho kitajenga mustakbali wa eneo hilo.
Habari ID: 3479674 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/31
IQNA-Sheikh Naim Qassim aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu Mpya wa harakati hiyo ya mapambano baada ya mtangulizi wake Sayyid Hassan Nasrullah kuuawa shahidi katika hujuma ya Israel kusini mwa Beirut, mwezi uliopita.
Habari ID: 3479668 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/29
Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) - Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema watu wa Palestina wataibuka katika vita dhidi ya Gaza wakiwa na nguvu zaidi kuliko hapo awali.
Habari ID: 3477980 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/03
Muqawama (Mapambano ya Kiislamu)
BEIRUT (IQNA)- Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon ameongeza kuwa, "Kuhusu kuenea kwa vita, uwezekano huo upo, iwapo watatushambulia, tutalazimika kujihami na tutatumia nguvu zetu zote. Hatuogopi vitisho vya Israel, tunaamini kuwa tutashinda."
Habari ID: 3477901 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/17
Kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika baadhi ya nchi za Magharibi, vitendo vya kigaidi na kuuawa Waislamu huko Pakistan ni ishara ya kufilisika nchi za Magharibi.
Habari ID: 3476498 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/01
Sheikh Naim Qassim
TEHRAN (IQNA) - Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani na utawala wa kizayuni wa Israel zinajua vyema kwamba uamuzi madhubuti wa harakati hiyo wa kujibu mapigo na uchokozi wa aina yoyote hauwezi kubadilika.
Habari ID: 3473703 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/04