iqna

IQNA

bandera
TEHRAN (IQNA)- Bendera ya Msikiti wa Jamkaran karibu na Mji Mtakatifu wa Qum, nchini Iran imebadilishwa na mpya kupandishwa katika sherehe iliyofanyika Alhamisi.
Habari ID: 3473867    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/01