IQNA

12:15 - May 01, 2021
Habari ID: 3473867
TEHRAN (IQNA)- Bendera ya Msikiti wa Jamkaran karibu na Mji Mtakatifu wa Qum, nchini Iran imebadilishwa na mpya kupandishwa katika sherehe iliyofanyika Alhamisi.

Kwa mujibu wa taarifa, sherehe hiyo ilifanyika tarehe 17 katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, katika siku ya kukumbuka kuasisiwa msikiti huo.

 
 
Kishikizo: jamkaran ، msikiti ، bandera
Jina:
Baruapepe:
* maoni:
* captcha: