TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) inaweza kuwa kichocheo muhimu cha mtazamo mmoja wa pande kadhaa ulimwenguni.
Habari ID: 3474307 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/17
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili katika mji mkuu wa Tajikistan, Dushanbe, ambako anashiriki mkutano wa wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) unaofanyika nchini humo leo na kesho.
Habari ID: 3474303 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/16
Katika Mkutano wa Rais wa Iran na Waziri Mkuu wa Iraq
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo na waandishi wa habari akiwa pamoja na Waziri Mkuu wa Iraq kwamba, idadi ya wafanya ziara wa Iran katika Arubaini ya Imam Husain AS itaongezwa mwaka huu.
Habari ID: 3474287 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/12
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi kufuatia kuaga dunia Ayatullahil Udhma Sayyid Mohammad Saeed Tabatabai Hakim wa Iraq.
Habari ID: 3474257 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/04
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia udharura wa kuongezwa kiwango cha mabadilishano ya kibiashara na ushirikiano na mataifa jirani.
Habari ID: 3474247 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/01
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaunga mkono taifa madhulumu la Waislamu la Afghanistan katika hali yoyote ile." Aidha ameongeza kuwa, uhusiano wa Iran na serikali zingine utategemea muamala wao na Iran.
Habari ID: 3474233 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/28
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi anasema amechagua baraza la mawaziri ili kuboresha uchumi na kupambana na ufisadi.
Habari ID: 3474212 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/21