IQNA – Katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani wa mwaka 1446 Hijria (2025) , Kuwait imesema imeshuhudia ongezeko la ajabu la watu wanaokumbatia Uislamu.
Habari ID: 3480493 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/04
Uislamu Chaguo Langu
IQNA - Natalie Hatten ni mwanamke kutoka Uholanzi ambaye ali silimu mwaka 1993.
Habari ID: 3479777 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/19
Uislamu unaenea kwa kaasi
IQNA - Kulingana na serikali ya Saudi Arabia, zaidi ya watu 347,000 wame silimu nchini humo katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
Habari ID: 3478226 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/21
Jamii ya Waislamu
MITANDAONI (IQNA)- Klipu ya kijana Mwafrika akijaribu kumfundisha Qur'ani Tukufu mke wake mzungu aliye silimu imevutia hisia za watumiaji wa mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3477441 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/15
TEHRAN (IQNA)- Dada wawili nchini Uingereza wame silimu baada ya kuvutiwa na unyenyekevu pamoja na maadili mema ya mchezaji soka maarufu wa Misri Mohammad Salah, ambaye ni fowadi wa klabu ya Liverpool katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL).
Habari ID: 3474224 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/25