Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) Hissein Brahim Taha ameelezea wasiwasi wa jumuiya hiyo kuhusiana na kuongezeka kwa chuki dhidi ya Uislamu katika baadhi ya nchi za Ulaya.
Habari ID: 3475812 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/20
Matembezi ya Arbaeen
TEHRAN (IQNA) – Mamilioni ya Waislamu wako katika safari ya kuelekea kwenye haram tukufu ya Imam Hussein (AS), ili kuonyesha mapenzi na kujitolea kwao kwa mjukuu kipenzi wa Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3475787 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/15
Hali Saudia
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya 16 za Kiislamu duniani zimetoa tamko la kulaani hukumu kali za vifungo jela dhidi ya walinganiaji wa Kiislamu wa Saudi Arabia zilizotolewa hivi karibuni na mamlaka ya mahakama ya Saudia.
Habari ID: 3475785 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/15
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly ameidhinisha mpango wa kuandaa Duru ya Sita Ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya nchi hiyo huko Port Said.
Habari ID: 3475783 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/14
Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) - Athari za baada ya mashambulizi yaSeptemba 11 za chuki dhidi ya Uislamu zinaendelea kuwakumba Waislamu Wamarekani huku ikiwa imetimia miaka 21 tokea mashambulizi hayo yajiri.
Habari ID: 3475773 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/12
Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa ripoti ya taasisi moja ya utafiti, Waislamu wa Uingereza wamepunguziwa hadhi ya uraia wao hadi hadhi ya "daraja la pili" kutokana na mamlaka iliyoongezwa hivi karibuni ya kuwavua watu utaifa au uraia wao.
Habari ID: 3475771 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/12
Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) - Maonyesho ya picha yamefunguliwa huko San Antonio kwa lengo la kuangazia Waislamu huko Texas, Marekani.
Habari ID: 3475770 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/12
Waislamu Sweden
TEHRAN (IQNA) – Msikiti katika mji wa kusini mwa Uswidi (Sweden) wa Jönköping umehujumiwa na kuharibiwa kwa mara ya tatu katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Habari ID: 3475759 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/10
Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) –Baraza la Mahusiano ya Kiislamu ya Marekani (CAIR) linawataka polisi nchini humo kuimarisha doria zaidi baada ya shambulio dhidi ya msikiti.
Habari ID: 3475756 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/09
Ugaidi wa Daesh
TEHRAN (IQNA) - Katika ripoti yake, Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch lilisema kuwa kundi tanzu la Daesh (ISIS au ISIL) nchini Afghanistan linalenga makundi ya Waislamu waliowachache Afghanistan kama vile Mashia wa kabila la Hazara.
Habari ID: 3475749 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/08
Chuki dhidi ya Uislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA)- Mwenendo wa chuki dhidi ya Uislamu na vitendo vya utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu katika mataifa ya Ulaya hususan Ufaransa ungali unaendelea huku kukiwa na mpango wa kuwatimua Maimamu na viongozi wengine wa jamii ya Waislamu katika nchi hiyo.
Habari ID: 3475748 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/07
Waislamu Uswidi
TEHRAN (IQNA) - Chama kipya cha Waislamu nchini Uswidi (Sweden)kinataka kupiga marufuku kudhalilishwa kwa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3475744 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/06
Waislamu wa Madhehebu ya Shia
TEHRAN (IQNA) – Mkutano wa Saba wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Kimataifa ya Ahl-ul-Bayt AS ulimalizika hapa katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3475731 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/04
Uislamu barani Ulaya
TEHRAN (IQNA) – Mwanamke mmoja huko Plymouth, kusini magharibi mwa Uingereza, alikubali Uislamu baada ya kusoma Qur’ani Tukufu mara nne katika muda wa mwezi mmoja.
Habari ID: 3475726 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/03
Ubaguzi Marekani
TEHRAN (IQNA) - Baraza la Mahusiano ya Kiislamu ya Marekani (CAIR) lilisema Waislamu wa Marekani wanaunga mkono wale wote wanaopinga ubaguzi wa rangi unaolenga watu wenye asili ya Afrika, chuki dhidi ya wageni, chuki dhidi Uislamu na itikadi kuwa wazungu ndio watu bora zaidi.
Habari ID: 3475721 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/02
Chuki dhidi ya Uislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA)- Maimamu 15 wa msikiti huko nchini Ufaransa watafukuzwa nchini humo kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya uchochezi.
Habari ID: 3475716 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/01
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- TEHRAN (IQNA) - Kozi za kuhifadhi Qur'ani katika vituo vya Qur'ani vya Jordan zimekaribishwa kwa furaha na wanafunzi wa shule Wizara ya Wakfu ilisema.
Habari ID: 3475700 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/29
Waislamu Warohingya
TEHRAN (IQNA)- Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuwasaidia kwa hali na mali wakimbizi Waislamu wa Rohingya walioko nchini Bangladesh.
Habari ID: 3475696 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/28
Ubaguzi wa rangi
TEHRAN (IQNA)- Utafiti wa Chuo Kikuu cha Rice unaonyesha kuwa Waislamu wenye asili ya Afrika nchini Marekani wanakabiliwa na utumiaji mabavu na unyanyasaji mara tano zaidi yaw engine kutoka kwa polisi nchini humo.
Habari ID: 3475677 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/25
Waislamu wa jamii ya Rohingya
TEHRAN (IQNA) - Katika mwaka wa tano wa kulazimishwa kuhama Waislamu walio wachache wa Rohingya kutoka makwao nchini Myanmar, wengi wanaishi katika kambi ndani na nje ya nchi.
Habari ID: 3475674 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/24