Waislamu Singapore
TEHRAN (IQNA) – Idadi ya Waislamu kutoka Singapore wanaofanya ibada ya Hija ndogo ya Umrah imeongezeka kwa asilimia 45 ikilinganishwa na enzi ya kabla ya janga la corona.
Habari ID: 3476647 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/02
Wanaharakati wafichua
TEHRAN (IQNA)-Wanaharakati wameshutumu Kanisa Kikatoliki huko Cordoba, Uhispania, kwa kuharibu na kupotosha historia ya Kiislamu katika eneo hilo.
Habari ID: 3476644 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/02
Uislamu unaenea
TEHRAN (IQNA) – Padre Hilarion Heagy, padre mashuhuri wa Kanisa Katoliki la Mashariki lenye makazi yake Marekani amesilimu, akielezea uamuzi wake kama "kurejea katika Uislamu" na kwamba hatua yake ilikuwa "sawa na kurudi nyumbani."
Habari ID: 3476641 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/28
Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Katibu Mkuu wa Baraza la Dunia la Ahl-ul-Bayt (AS) alisisitiza haja ya kuandaa vikao vya Qur’ani katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Ahl-ul-Bayt (AS) katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476638 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/28
Waislamu Australia
TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Waislamu wa Australia imezindua kampeni ya uchangiaji damu katika kile inachotumai itakuwa mojawapo ya misukumo mikubwa ya umwagaji damu wa kidini nchini humo.
Habari ID: 3476618 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/24
Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA)- Mabinti wa mwanaharakati wa haki za kiraia Muislamu mweusi, Malcolm X, wamesema wataishtaki polisi ya jiji la New York na Shirika Kuu la Kijasusi Marekani, CIA, na Idara ya Upelelezi ya Marekani, FBI, kwa kuhusika na mauaji ya baba yao, hapo 1965.
Habari ID: 3476609 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/22
Waislamu Warohingya
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar ya Misri kimeonya kuhusu mgogoro wa kibinadamu unaotarajiwa kuwakumba wakimbizi wa jamii ya Rohingya iwapo misaada itapungua.
Habari ID: 3476607 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/22
Uislamu na Ukristo
TEHRAN (IQNA) – Mazungumzo ya kidini kati ya Uislamu na Ukristo yanapangwa kufanyika nchini Zimbabwe wiki ijayo.
Habari ID: 3476584 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/19
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Polisi katika mji mkuu wa Uswidi (Sweden) wa Stockholm wamekataa ombi la maandamano ya kuchoma nakala ya Qur'ani Tukufu mbele ya ubalozi wa Iraq.
Habari ID: 3476575 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/17
Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) - Afisa mwandamizi wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amesema uungaji mkono kutoka kwa Waislamu kote ulimwenguni kwa Msikiti wa Al-Aqsa, al-Quds (Jerusalem) na Palestina unatokana na imani zao za kidini.
Habari ID: 3476558 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/13
Sura za Qur’ani Tukufu /61
TEHRAN (IQNA) – Katika kila zama katika historia ya wanadamu, waumini wamejitahidi kulinda dini na kukabiliana na ukafiri. Hili ndilo lililofanywa na wanafunzi waaminifu wa Nabii Isa au Yesu –Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe JuuYake- wanaojulikana kama Hawariyun.
Habari ID: 3476549 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/12
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Wanaharakati wa Qur'ani Tukufu kutoka Iran na baadhi ya nchi kadhaa katika taarifa yao wamelaani vitendo vya hivi majuzi vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu barani Ulaya, wakizitaka serikali za nchi za Kiislamu kuchukua hatua madhubuti dhidi ya hatua hizo za kufuru.
Habari ID: 3476532 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/08
Chuki dhidi ya Uislamu Marekani
TEHRAN (IQNA)- Ilhan Omar, Mbunge Mwislamu wa chama cha Democratic katika Baraza la Wawakilishi la Marekani anayewakilisha jimbo la Minnesota amesema kuwa, baadhi ya wajumbe wa chama cha Republican hawataki kuona kunakuweko na Wabunge Waislamu katika Kongresi ya nchi hiyo.
Habari ID: 3476497 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/01
Jinai dhidi ya Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 87 wameuawa katika shambulizi la kujilipua kwa bomu lililotokea katika msikiti wa mji wa Peshawar huko kaskazini magharibi mwa Pakistan.
Habari ID: 3476489 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/30
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia nchini wa Bahrain Sheikh Isa Qassim amelaani vikali kitendo cha kuchomwa moto Qur'ani Tukufu hivi karibuni katika nchi za Ulaya.
Habari ID: 3476466 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/26
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejiunga na ulimwengu wa Kiislamu katika kulaani vikali kitendo cha kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchini Sweden (Usiwidi).
Habari ID: 3476444 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/22
Hali ya Waislamu Saudia
TEHRAN (IQNA) – Matumizi ya vipaza sauti katika misikiti kote Saudi Arabia yatawekewa vikwazo, kulingana na Wizara ya Masuala ya Kiislamu, Wito na Mwongozo.
Habari ID: 3476436 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/20
Waislamu India
TEHRAN (IQNA) – Mamlaka za India zimebomoa msikiti wa karne ya 16 huko Uttar Pradesh kama sehemu ya mradi wa kupanua barabara.
Habari ID: 3476418 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/17
Uislamu Bangladesh
TEHRAN (IQNA) – Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina aliuelezea Uislamu kuwa ni dini ya amani, udugu na urafiki.
Habari ID: 3476416 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/17
Chuki dhidi ya Uislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA) – Mwandishi wa riwaya wa Ufaransa mwenye utata Michel Houellebecq anashtakiwa na Muungano wa Misikiti nchini Ufaransa kwa ubaguzi, matamshi ya chuki na kuchochea ghasia katika matamshi wakati wa mahojiano.
Habari ID: 3476404 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/14