waislamu - Ukurasa 18

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Tatizo la chakula katika mikahawa ya shule nchini Ufaransa ni keri kubwa kwa wazazi wengi wa wanafunzi Waislamu.
Habari ID: 3475982   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/24

Maafa
TEHRAN (IQNA) – Kuba kubwa la Msikiti Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Jakarta nchini Indonesia liliporomoka kufuatia moto mkubwa.
Habari ID: 3475962   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/21

Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni wa Kiislamu wa India anasema maadui wanaleta migawanyiko katika ulimwengu wa Kiislamu kwa vile hawataki kuona maendeleo ya Waislamu.
Habari ID: 3475947   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/18

Waislamu Ujerumani
TEHRAN (IQNA)- Kwa mara ya kwanza kabisa, Adhana imesikika katika moja kati ya misikiti mikubwa zaidi nchini Ujerumani mjini Cologne.
Habari ID: 3475931   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/15

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu hautasalimu amri mbele ya madola yenye nguvu na kusisitiza kuwa: Jamhuri ya Kiislamu hivi sasa imekuwa mti imara uliostawi ambao ni muhali hata kufirikia kwamba unaweza kung'olewa.
Habari ID: 3475926   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/14

Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) – Maisha ya Mtume Muhammad SAW yamejaa mafunzo kwa wale wanaotafuta mwongozo wa kimaadili.
Habari ID: 3475906   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/10

Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) –Pauni za Uingereza 24,000 zilikusanywa kwa ajili ya ujenzi wa moja ya misikiti mikongwe zaidi huko Blackburn nchini Uingereza.
Habari ID: 3475903   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/09

Hali ya Waislamu India
TEHRAN (IQNA) – Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa mamlaka nchini India zinazidi kuwakandamiza na kuwaadhibi Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3475891   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/07

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN(IQNA)- Mitazamo hasi na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vimeongezeka kwa kiwango cha kutia wasiwasi nchini Ujerumani.
Habari ID: 3475890   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/06

Taazia
TEHRAN (IQNA) - Sheikh Osama Abdel Azim, mwanazuoni wa Kiislamu na Qur'ani wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 74.
Habari ID: 3475883   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/05

Waislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA)- Mwanasiasa mwenye siasa kali za mrengo wa kulia wa Ufaransa, Marine Le Pen amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo, Gérald Darmanin, kufunga misikiti zaidi ya Waislamu akisema kuwa kufungwa misikiti 24 katika kipindi cha miaka miwili iliyopita haitoshi.
Habari ID: 3475881   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/05

Waislamu Bahrain
Ayatullah Sheikh Isa Qassem, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Bahrain amesema, utawala wa kifalme wa Aal Khalifa unataka kuwafanya watu wa nchi hiyo watumwa.
Habari ID: 3475878   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/04

Chuki dhidi ya Uislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA) - Serikali ya Ufaransa imefunga makumi ya misikiti katika kipindi cha miaka miwili hivi kwa kisingizio cha sheria yenye utata na iliyokosolewa sana.
Habari ID: 3475877   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/04

Waislamu wa Yemen
TEHRAN (IQNA) – Wanazuoni wa Yemen wamesisitiza haja ya kuimarisha umoja wa Kiislamu, wakibainisha kwamba sikukuu ya kuzaliwa kwa Mtukufu Mtume (SAW) ni tukio la kukuza umoja.
Habari ID: 3475854   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/29

Waislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA) - Serikali ya Ufaransa inapanga kufunga msikiti mwingine, ikimtuhumu imamu wa masikiti husika kuwa na itikadi kali.
Habari ID: 3475853   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/29

Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- India imeipiga marufuku harakati mashuhuri ya Kiislamu nchini humo ya PFI, ikiwa ni muendelezo wa serikali ya New Delhi ya kufuata sera ya kukanyaga na kupuuza haki za Waislamu walio wachache katika nchi hiyo.
Habari ID: 3475852   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/29

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) –Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Morocco yalianza Jumanne na kumalizika leo katika mji wa Casablanca magharibi mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3475850   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/28

Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) - Mashirika na vikundi vya Kiislamu huko Mumbai nchini India vimeanza kampeni ya kukuza mafundisho ya Mtume Muhammad (SAW) katika mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwake.
Habari ID: 3475848   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/28

Waislamu Italia
TEHRAN (IQNA) – Mtazamo hasi dhidi ya Waislamu milioni 3 na zaidi wanaoishi nchini Italia hautarajiwi kutoka kwa serikali ijayo ya mrengo wa kulia, jumuiya za Kiislamu nchini humo zilisema.
Habari ID: 3475847   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/27

Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) – Gwaride la 38 la Kila Mwaka la Siku ya Umoja Waislamu wa Marekani lilifanyika Manhattan, jijini New York.
Habari ID: 3475844   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/26