iqna

IQNA

Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) – Maisha ya Mtume Muhammad SAW yamejaa mafunzo kwa wale wanaotafuta mwongozo wa kimaadili.
Habari ID: 3475906    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/10

Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) –Pauni za Uingereza 24,000 zilikusanywa kwa ajili ya ujenzi wa moja ya misikiti mikongwe zaidi huko Blackburn nchini Uingereza.
Habari ID: 3475903    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/09

Hali ya Waislamu India
TEHRAN (IQNA) – Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa mamlaka nchini India zinazidi kuwakandamiza na kuwaadhibi Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3475891    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/07

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN(IQNA)- Mitazamo hasi na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vimeongezeka kwa kiwango cha kutia wasiwasi nchini Ujerumani.
Habari ID: 3475890    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/06

Taazia
TEHRAN (IQNA) - Sheikh Osama Abdel Azim, mwanazuoni wa Kiislamu na Qur'ani wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 74.
Habari ID: 3475883    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/05

Waislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA)- Mwanasiasa mwenye siasa kali za mrengo wa kulia wa Ufaransa, Marine Le Pen amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo, Gérald Darmanin, kufunga misikiti zaidi ya Waislamu akisema kuwa kufungwa misikiti 24 katika kipindi cha miaka miwili iliyopita haitoshi.
Habari ID: 3475881    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/05

Waislamu Bahrain
Ayatullah Sheikh Isa Qassem, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Bahrain amesema, utawala wa kifalme wa Aal Khalifa unataka kuwafanya watu wa nchi hiyo watumwa.
Habari ID: 3475878    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/04

Chuki dhidi ya Uislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA) - Serikali ya Ufaransa imefunga makumi ya misikiti katika kipindi cha miaka miwili hivi kwa kisingizio cha sheria yenye utata na iliyokosolewa sana.
Habari ID: 3475877    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/04

Waislamu wa Yemen
TEHRAN (IQNA) – Wanazuoni wa Yemen wamesisitiza haja ya kuimarisha umoja wa Kiislamu, wakibainisha kwamba sikukuu ya kuzaliwa kwa Mtukufu Mtume (SAW) ni tukio la kukuza umoja.
Habari ID: 3475854    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/29

Waislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA) - Serikali ya Ufaransa inapanga kufunga msikiti mwingine, ikimtuhumu imamu wa masikiti husika kuwa na itikadi kali.
Habari ID: 3475853    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/29

Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- India imeipiga marufuku harakati mashuhuri ya Kiislamu nchini humo ya PFI, ikiwa ni muendelezo wa serikali ya New Delhi ya kufuata sera ya kukanyaga na kupuuza haki za Waislamu walio wachache katika nchi hiyo.
Habari ID: 3475852    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/29

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) –Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Morocco yalianza Jumanne na kumalizika leo katika mji wa Casablanca magharibi mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3475850    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/28

Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) - Mashirika na vikundi vya Kiislamu huko Mumbai nchini India vimeanza kampeni ya kukuza mafundisho ya Mtume Muhammad (SAW) katika mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwake.
Habari ID: 3475848    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/28

Waislamu Italia
TEHRAN (IQNA) – Mtazamo hasi dhidi ya Waislamu milioni 3 na zaidi wanaoishi nchini Italia hautarajiwi kutoka kwa serikali ijayo ya mrengo wa kulia, jumuiya za Kiislamu nchini humo zilisema.
Habari ID: 3475847    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/27

Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) – Gwaride la 38 la Kila Mwaka la Siku ya Umoja Waislamu wa Marekani lilifanyika Manhattan, jijini New York.
Habari ID: 3475844    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/26

Uislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) – Chuo Kikuu cha Jimbo la Arizona (ASU) kilifungua Kituo cha Uzoefu wa Kiislamu nchini Marekani muhula huu.
Habari ID: 3475840    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/25

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune alisema suala la Palestina ndilo suala la msingi kwa nchi yake.
Habari ID: 3475837    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/25

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Wanaume wawili walipigwa risasi na kuuawa Jumatatu usiku huko nchini Marekani katika jiji la Oakland wakati washambuliaji wengi waliokuwa kwenye gari walipofyatua risasi kwa umati wa watu karibu na Kituo cha Kiislamu cha Oakland.
Habari ID: 3475820    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/21

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vita vya kulazimishwa vya Iraq dhidi ya Iran vilikuwa ni matokeo ya siasa za kimkakati za mfumo wa kibeberu katika uadui wake dhidi ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na taifa la Iran.
Habari ID: 3475816    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/21

Waislamu Dunianii
TEHRAN (IQNA) - Msikiti wa kwanza wa Cuba utajengwa katika mji mkuu Havana ambapo inatarajiwa kuwa ujenzi wake utafadhiliwa na Saudia Arabia kwa ajili ya Waislamu wanaoishi katika nchi hiyo ya Amerika Kusini.
Habari ID: 3475815    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/20