Jinai dhidi ya Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 87 wameuawa katika shambulizi la kujilipua kwa bomu lililotokea katika msikiti wa mji wa Peshawar huko kaskazini magharibi mwa Pakistan.
Habari ID: 3476489 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/30
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia nchini wa Bahrain Sheikh Isa Qassim amelaani vikali kitendo cha kuchomwa moto Qur'ani Tukufu hivi karibuni katika nchi za Ulaya.
Habari ID: 3476466 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/26
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejiunga na ulimwengu wa Kiislamu katika kulaani vikali kitendo cha kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchini Sweden (Usiwidi).
Habari ID: 3476444 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/22
Hali ya Waislamu Saudia
TEHRAN (IQNA) – Matumizi ya vipaza sauti katika misikiti kote Saudi Arabia yatawekewa vikwazo, kulingana na Wizara ya Masuala ya Kiislamu, Wito na Mwongozo.
Habari ID: 3476436 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/20
Waislamu India
TEHRAN (IQNA) – Mamlaka za India zimebomoa msikiti wa karne ya 16 huko Uttar Pradesh kama sehemu ya mradi wa kupanua barabara.
Habari ID: 3476418 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/17
Uislamu Bangladesh
TEHRAN (IQNA) – Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina aliuelezea Uislamu kuwa ni dini ya amani, udugu na urafiki.
Habari ID: 3476416 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/17
Chuki dhidi ya Uislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA) – Mwandishi wa riwaya wa Ufaransa mwenye utata Michel Houellebecq anashtakiwa na Muungano wa Misikiti nchini Ufaransa kwa ubaguzi, matamshi ya chuki na kuchochea ghasia katika matamshi wakati wa mahojiano.
Habari ID: 3476404 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/14
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 23 la Mashindano ya Qur’ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum yalimalizika katika Umoja wa Falme za Kiarabu siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3476401 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/14
Waislamu Ulaya
TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Waislamu nchini Uholanzi imezindua makaburi makubwa zaidi ya Waislamu wa Ulaya Magharibi nchini Uholanzi.
Habari ID: 3476400 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/14
Waislamu na Siasa Kenya
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya amemuonya mwanasiasa maarufu Muislamu nchini humo kuhusu kuutumia Msikiti kama jukwaa la kisiasa.
Habari ID: 3476376 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/08
Waislamu Pakistan
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Pakistan itafuatilia tarjuma za Qur'ani Tukufu zilizo katika mitandao ya kijamii nchini humo ili kuhakikisha kuwa ni shahihi kwenye mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3476362 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/06
Waislamu Afghanistan
TEHRAN (IQNA) – Kiongozi mkuu wa Waislamu wa Kishia nchini Iraq Ayatullah Seyed Ali al-Sistani amehimiza jumuiya ya kimataifa na Waislamu kote ulimwenguni kuunga mkono watu "wanaoteseka" nchini Afghanistan.
Habari ID: 3476357 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/04
Uislamu Marekani
TEHRAN (IQNA)- Bilionea wa Kimarekani, Elon Musk, ambaye ni mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Twitter, amewakasirisha Waislamu nchini Marekani baada ya kuchapisha picha kwenye akaunti yake ya Twitter, ikiwa na idadi ya alama za fikra na itikadi anazodai zinalenga "kupindua na kuharibu fikra na akili za watu."
Habari ID: 3476345 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/02
Waislamu Kanada
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Waislamu wa Kanada (MAC) itaandaa mashindano yake ya 20 ya Qur'ani Tukufu Januari Mosi 2023.
Habari ID: 3476337 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/31
Waislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa Jamia wa Paris, Ufaransa unawasilisha malalamiko ya jinai dhidi ya mwandishi Mfaransa Michel Houellebecq kutokana na kauli zake dhidi ya Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3476330 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/30
Ibada ya Umrah
TEHRAN (IQNA) – Katika mpango uliobuniwa na mamlaka ya Saudia, Waislamu wapya 100 walitembelea Msikiti Mtakatifu wa Makka na Msikiti wa Mtume SAW mjini kutekeleza ibada ya Hija ndogo ya Umrah kwa mara ya kwanza.
Habari ID: 3476323 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/29
Waislamu Kanada
TEHRAN (IQNA) – Waislamu katika mji wa Okotoks nchini Kanada sasa wana nafasi ya Sala ya Ijumaa kufuatia ushirikiano na kanisa moja la mji huo.
Habari ID: 3476316 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/27
Waislamu Ujerumani
TEHRAN (IQNA) – Maiti ya Muislamu mmoja ilichomwa moto nchini Ujerumani baada ya hospitali mjini Hannover kuchanganya maiti mbili.
Habari ID: 3476294 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/23
Uislamu na Elimu
TEHRAN (IQNA)- TEHRAN (IQNA) – Shirika la Kiislamu la Elimu, Sayansi na Utamaduni Duniani (ISESCO) linapanga kuanzisha mfuko kwa ajili ya kusaidia wasomi na watu mahiri katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3476288 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/22
Waislamu Kenya
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Ulinzi nchini Kenya, Aden Duale Jumanne ameunga mkono vazi la Hijabu ambapo amewataka wanokerwa na wanawake wa Kiislamu kuvaa vazi hilo la stara nchini Kenya watafute nchi nyingine ya kuishi.
Habari ID: 3476284 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/21