Uislamu unavyoenea
TEHRAN (IQNA) – Maafisa wa Kuwait wanasema jumla ya watu 109 wamesilimu nchini humo tangu mwanzoni mwa mwaka huu.
Habari ID: 3476270 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/19
Waislamu wa Kanada
TEHRAN (IQNA) - Wanachama wa Taasisi ya Misaada ya Kiislamu Kanada wametayarisha mamia ya vifurishi vya misaada maalumu ya majira ya baridi kali kwa ajili ya watu wasio na makazi wa Metro Vancouver siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3476267 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/18
Waislamu nchini Nigeria
TEHRAN (IQNA) - Gavana wa Jimbo la Borno la Nigeria Ijumaa alitangaza ufunguzi wa mashindano ya kila mwaka ya kuhifadhi Qur'ani yaliyoandaliwa na Kituo cha Mafunzo ya Kiislamu cha Chuo Kikuu cha Usman Dan Fodio.
Habari ID: 3476259 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/17
Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA)-Katika mkutano kamili wa Baraza la Serikali za Mitaa la Eneo la Scotland, la Uingereza wiki iliyopita, diwani Ali Salamati (Kilbride Magharibi Mashariki) alileta hoja ya kuitaka mamlaka ya eneo hilo azimio la kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia.
Habari ID: 3476253 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/15
Uislamu nchini Ghana
TEHRAN (IQNA) – Baraza la Umoja na Maendeleo ya Waislamu limezinduliwa nchini Ghana kwa lengo la kukuza mshikamano na ustawi wa jamii ya Waislamu katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
Habari ID: 3476250 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/14
Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Semina ya pili ya Qur’ani ya Chuo Kikuu cha Kiarabu cha Amman katika mji mkuu wa Jordan ilifanyika katika kitivo cha teolojia ya Kiislamu cha chuo hicho.
Habari ID: 3476249 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/14
Waislamu Duniani
TEHRAN (IQNA) - Wananchi Waislamu wa Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo, Abuja, kulalamikia ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika Jamhuri ya Azerbaijan.
Habari ID: 3476235 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/11
Uislamu na Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Mwanamasumbwi wa kulipwa wa zamani wa Marekani, Mike Tyson, amefika katika mji mtakatifu wa Makka, eneo takatifu zaidi katika Uislamu, na kutekeleza ibada ya Umrah (Hija Ndogo).
Habari ID: 3476227 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/10
Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) – Waislamu kadhaa wa Uingereza wamewashutumu polisi wa nchi hiyo kwa kuwatendea vibaya kama "magaidi" wakati walipokamatwa kwa tuhuma za chuki dhidi ya Wayahudi ambazo baadaye zilitupiliwa mbali.
Habari ID: 3476220 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/09
Waislamu Ujerumani
TEHRAN (IQNA) – Visa 120 vya uhalifu wa chuki dhidi ya Uislamu viliripotiwa nchini Ujerumani katika robo ya tatu ya mwaka huu.
Habari ID: 3476213 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/07
Hali ya Waislamu Uganda
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Uganda kutoka makundi yote ya jamii jana Jumatatu walipinga kukamatwa kiholela kwa viongozi wa Waislamu wakati wa uvamizi wa misikiti.
Habari ID: 3476206 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/06
Hali ya Waislamu Nigeria
TEHRAN (IQNA) Watu wenye silaha wameshambulia msikiti mmoja kaskazini mwa Nigeria na kuwateka nyara watu 19 huku visa vya utekaji nyara vikiongezeka nchini humo.
Habari ID: 3476205 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/06
Kongamano la Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Tukio lililopewa jina la “Kongamano la Kimataifa la Qu’ani” lilifanyika Kuala Lumpur siku ya Jumamosi kwa kushirikisha mamia ya watu.
Habari ID: 3476198 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/05
Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA) – Wanafunzi kutoka shule ya Darwen walitembelea Msikiti wa Madina mjini Blackburn Uingereza ili kujua zaidi kuhusu Uislamu na maisha ya kila siku ya Waislamu.
Habari ID: 3476183 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/02
Waislamu India
TEHRAN (IQNA) – Ripoti zinaonyesha kuongezeka kwa uuzaji wa nguo za Kiislamu nchini India huku kukiwa na marufuku ya hijabu ya Kiislamu kusini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3476179 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/01
Chuki dhidi ya Uislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA) - Mahakama moja ya Ufaransa imemtoza faini mmiliki wa mgahawa kusini-magharibi mwa nchi hiyo ya Ulaya kwa kumkataza mwanamke Mwislamu kuingia akiwa amevaa mtandio wa Kiislamu, unajulikana pia kama Hijabu.
Habari ID: 3476178 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/01
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Algeria imewazawadia safari Umrah kwa wanafunzi 168 wa vyuo vikuu ambao wamefanikiwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu..
Habari ID: 3476162 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/28
Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) - Baadhi ya maqarii au wasomaji maarufu zaidi wa Qur'ani Tukufu walihudhuria sherehe za uzinduzi wa msikiti katika Jimbo la Qalyubia nchini Misri.
Habari ID: 3476151 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/26
Waislamu Ujerumani
TEHRAN (IQNA) - Mawe kadhaa ya makaburi ya Waislamu yameharibiwa kaskazini mwa Ujerumani siku ya Jumanne, amesema mkuu wa jumuiya ya Kiislamu eneo hilo.
Habari ID: 3476140 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/24
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) –Mashindano ya 20 Kimataifa ya Qur'ani ya Moscow yalizinduliwa Ijumaa katika mji mkuu huo wa Urusi (Russia).
Habari ID: 3476115 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/19