Chuki dhidi ya Waislamu
TEHRAN (IQNA)-Mtu asiyejulikana ametekteza moto msikiti katika mji wa Rennes magharibi mwa Ufaransa na tayari mamlaka imeanzisha uchunguzi kuhusu jinai hiyo.
Habari ID: 3475384 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/16
Hali ya Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu na chuki dhidi ya Waislamu duniani.
Habari ID: 3475381 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/16
Mauaji ya Waislamu Bosnia
TEHRAN (IQNA) – Afisa wa polisi wa kijeshi wa zamani Mserbia wa Bosnia amekana mbele ya mahakama ya jimbo la Bosnia Jumanne kwa shtaka kwamba alitenda uhalifu dhidi ya ubinadamu katika kijiji cha Novoseoci mnamo Septemba 1992.
Habari ID: 3475379 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/15
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) –Sawa na idadi kubwa ya Waislamu katika nchi nyingine, raia wengi wa Morocco wanalazimika kufuta safari yao ya Hijja mwaka huu kutokana na gharama kubwa.
Habari ID: 3475373 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/13
Waislamu Italia
TEHRAN (IQNA) - Msikiti wa kwanza huko Venice, Italia, ulizinduliwa katika hafla iliyohudhuriwa na wawakilishi wa jamii ya Kiislamu ya Italia na taasisi za jiji.
Habari ID: 3475369 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/12
Qur'ani inasema nini / 7
TEHRAN (IQNA) – Moja ya matatizo makubwa wanayokumbana nao Waislamu ni kutawaliwa na wasio Waislamu au makafiri katika maeneo mbali mbali duniani. Nini mtazamo wa Qur'ani juu ya hili?
Habari ID: 3475360 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/10
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya kila mwaka ya Qur'ani Tukufu na Sunnah ya Mtume Muhammad SAW ya Afrika Magharibi yatafanyika nchini Mauritania.
Habari ID: 3475358 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/10
TEHRAN (IQNA)- Utafiti mpya umefichua kuwa, Waislamu saba kati ya kumi nchini Uingereza wamekabiliwa na vitendo vya chuki na ubaguzi kwa misingi ya dini yao.
Habari ID: 3475353 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/09
Hali ya Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- Kinara wa vijana wa chama tawala cha utaifa wa Kihindu cha Bharatiya Janata (BJP) nchini India amekamatwa kutokana na matamshi ya chuki dhidi ya Waislamu Waislamu kwenye mitandao ya kijamii, polisi walisema Jumatano.
Habari ID: 3475350 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/08
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amepongeza hatua ya kuanza tena ibada ya Hija baada ya amali hiyo kuvurugwa kwa miaka miwili na janga la Corona. Amesema, "hii ni baraka kubwa kwani ibada hii ni nembo ya umoja miongoni mwa Waislamu."
Habari ID: 3475348 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/08
Masomo ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Duru ya Tano ya Kozi ya Qur'ani imefanyika nchini Mali katika kituo kimoja kinachofadhiliwa na Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein AS nchini Iraq.
Habari ID: 3475345 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/07
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Nchi za Kiislamu duniani zimeendelea kulalamikia vikali matamshi dhidi ya Mtume Mutukufu wa Uislamu, Muhammad SAW ambayo yalitolewa katika mdahalo wa Televisheni huko India na kuibua hasira miongoni mwa Waislamu duniani.
Habari ID: 3475342 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/06
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Kundi la Mahujaji kutoka Indonesia walifika Madina siku ya Jumamosi wakiwa kundi la kwanza kuwasili katika Ufalme wa Saudia kutekeleza ibada za Hija baada ya kusitishwa kwa Waislamu walio nje ya Saudia kwa muda wa miaka miwili kutokana na corona
Habari ID: 3475338 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/05
TEHRAN (IQNA)- Takriban misikiti 7,500, imefunguliwa katika Shirikisho la Russia au Urusi katika kipindi cha miaka 33 iliyopita.
Habari ID: 3475336 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/04
TEHRAN (IQNA)- Mgogoro mbaya zaidi wa kiuchumi unaoikabili Sri Lanka iliyokumbwa na madeni umewalazimu Waislamu kutotekeleza ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3475326 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/02
Waislamu Australia
TEHRAN (IQNA)- Bw. Ed Husic na Bi. Anne Aly ambao wamekuwa mawaziri wa kwanza Waislamu katika historia ya Australia, wanatambua umuhimu wa kuteuliwa kwao na wanasisitiza kwamba wanaangazia sasa kutumia majukumu haya kuleta mabadiliko katika maisha ya Waaustralia.
Habari ID: 3475325 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/02
Uislamu na Ukristo
TEHRAN (IQNA) – Mkurugenzi wa Vyuo vya Kiislamu Iran Ayatullah Alireza Arafi alikutana na kufanya mazungumzo na Papa Francis.
Habari ID: 3475317 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/31
Waislamu Amerika ya Kaskazini
TEHRAN (IQNA)- Waislamu kutoka kote Marekani walimiminika katika Kituo cha Mikutano cha Baltimore kwa Mkutano wa 47 wa Mwaka wa ICNA-MAS 2022.
Habari ID: 3475315 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/30
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Rasmus Paludan, mwanasiasa mwenye msimamo mkali mwenye uraia wa Sweden na Denmark ambaye alizindua msafara wa kuteketeza moto Qur’ani Tukufu nchini Sweden hivi karibuni amekariri jinai yake hiyo yenye chuki dhidi ya Uislamu katika bustani ya jiji la Landskrona kusini mwa Sweden.
Habari ID: 3475310 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/29
Hali ya Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya mashuhuri ya Kiislamu nchini India imeishutumu serikali ya BJP kwa kuwalinda watu wanaohusika katika kueneza chukji dhidi ya Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3475307 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/28