TEHRAN (IQNA)- Baraza Kuu la Waislamu Fiji limetangaza kuwa misikiti itafunguliwa tena nchini humo kuanzia Oktoba nne lakini watakaoruhusiwa ni wale tu waliopata chanjo kamili ya COVID-19 au corona.
Habari ID: 3474371 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/02