TEHRAN (IQNA)- Mtawala wa Jimbo la Selangro nchini Malaysia ameamuru idadi ya waumini wanaoshiriki katika Sala ya Ijumaa misikitini iongezwe.
Habari ID: 3474494 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/31
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza tamko la Waziri wa Mambo ya Nje wa Malaysia ambaye amesema nchi yake katu haitaanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474451 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/21
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Masuala ya Kidini Malaysia Zulkifli Mohammad al Bakri amesema nchi yake inalenga kuanzisha mfuko maalumu wa kifedha maalumu kwa lengo la kuwasaidia Wapalestina.
Habari ID: 3473958 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/29
TEHRAN (IQNA) – Chanjo ya COVID-19 au corona inayosuburiwa kwa hamu, haina haja ya kupata cheti cha ‘Halal’ kabla ya kutumika nchini Malaysia, amesema mkurugenzi mkuu wa Wizara ya Afya nchini humo Daktari Noor Hisham Abdullah.
Habari ID: 3473439 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/09
TEHRAN (IQNA) – Klipu ya Waziri Mkuu wa Malaysia Muhyiddin Yassin akisoma Qur’ani Tukufu imeenea katika mitandao ya kijamii hivi karibuni
Habari ID: 3473242 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/08
TEHRAN (IQNA) – Misikiti zaidi Malaysia imejiunga na ‘Mpango wa Msikiti wa Kijani’ unaohusu kuzuia kulinda mazingira katika matumizi ya maji na umeme.
Habari ID: 3473211 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/28
TEHRAN (IQNA) – Misikiti zaidi itafunguliwa Mayalsia kwa ajili ya swala ya Ijumaa na watakashiriki katika swala watatakiwa kuzingatia sheria za kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472876 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/18
TEHRAN (IQNA)- Baraza la Mashauriano la Jumuiya za Kiislamu Malaysia limelaani vikali ukatili wa polisi nchini Marekani na kusema ukosefu wa uadilifu na utumiaji mabavu ni dhatu ya mfumo wa utawala nchini Marekani.
Habari ID: 3472833 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/03
TEHRAN (IQNA) – Pamoja na kuwepo tishio la ugonjwa wa COVID-19 na matatizo yatokanayo na zuio la watu kutoka nje nchini Malaysia, Waislamu nchini humo wanatumia wakati wao nyumbani kujikurubisha zaidi na Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3472761 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/13
TEHRAN (IQNA) – Harakati zote misikitini nchini Malayasia, ikiwa ni pamoja na sala za Ijumaa, zimesitishwa kwa muda wa siku kumi kufuatiia amri ya mfalme wa nchi hiyo ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama kirusi cha corona.
Habari ID: 3472574 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/17
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Malaysia ambayo yalikuwa yamepangwa kufanyika mwezi Aprili sasa yameakhirishwa ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama corona.
Habari ID: 3472556 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/12
TEHRAN (IQNA) - Mfalme wa Malaysia amemteua Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa nchi hiyo, Muhyiddin Yassin kuwa Waziri Mkuu mpya, kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Mahathir Muhammad, ambaye alijiuzulu hivi karibuni.
Habari ID: 3472516 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/29
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohamad amejiuzulu wadhifa huo. Hatua hiyo ya Mahathir Mohamad inatayarisha uwanja wa kuundwa serikali mpya nchini Malaysia.
Habari ID: 3472501 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/24
TEHRAN (IQNA) –Malaysia imepewa jukumu la kutayarisha chakula halali, ambacho kimetayarishwa kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu, kwa ajili ya michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020.
Habari ID: 3472477 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/16
TEHRAN (IQNA) –Hatua ya Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohamad kuwa mwenyeji wa kikao cha viongozi wa nchi za Kiislamu imeikasirisha Saudia Arabia na waitifaki wake.
Habari ID: 3472300 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/24
Waziri Mkuu wa Malaysia
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohammad amesema Iran, Malaysia, Uturuki na Qatar zinatafakari kutumia dinari ya dhahabu na mfumo wa bidhaa kwa bidhaa katika biashara.
Habari ID: 3472296 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/22
TEHRAN (IQNA) – Wanasayansi Waislamu na wanaharakati wametakiwa kujitokeza wazi katika matukio ya kimataifa kwa lengo la kuutetea Uislamu.
Habari ID: 3472292 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/21
Rais Hassan Rouhani wa Iran
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ulimwengu wa Kiislamu una changamoto nyingi kitaifa na kimataifa na kusisitiza kuwa, nchi za Kiislamu zinapaswa kuwa na tadibiri na mikakati madhubuti ya kuachana na ubeberu wa sarafu ya dola wa kutegemea mfumo wa kifedha wa Marekani.
Habari ID: 3472287 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/19
Waziri Mkuu wa Malaysia
TEHRAN (IQNA) – Waziri Mkuu wa Malaysia Dakta Mahathir Mohammad amesema Waislamu wanapaswa kuwa na tabia njema na maadili bora ili kuwavutia wasiokuwa Waislamu katika Uislamu.
Habari ID: 3472243 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/30
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 61 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Malaysia yalimalizika Jumamosi usiku kwa kutunukiwa zawadi washindi.
Habari ID: 3471926 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/23