Qarii mashuhuri na mtajika wa Misri, Ustadh Dkt. Abdul Fattah Tarouti ametuma salamu zake za rambi rambi kufuatia kurejea kwa Mola wao maqarii hao wawili wa kimataifa waliokuwa wakitekeleza ibada ya Hija katika eneo la Mina karibu na mji mtakatifu wa Makkah.
Habari ID: 3372198 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/27
Qarii mashuhuri wa Iran aliokuwa katika msafara wa Qur'ani wa mahujaji amethibitishwa kuaga dunia kufuatia msongamano mkubwa wa mahujaji katika eneo la Mina karibu na mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3370739 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/26
Jimbo la Terengganu nchini Malaysia lina mpango wa kuanzisha chuo kikuu cha Qur’ani kwa mara ya kwanza nchini humo.
Habari ID: 3344933 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/16
Nakala ya Qur’ani Tukufu iliyofunikwa kwa plastiki imepatikana katika viswa vya Reunion Bahari ya Hindi na inaaminika kuwa inafungamana na mabaki ya ndege ya Malaysia iliyotoweka mwaka jana.
Habari ID: 3340026 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/08
Gazeti moja la Uingereza hivi karibuni limechapisha orodha ya misikiti 25 bora duniani kwa mtazamo wa usanifu majengo.
Habari ID: 3338961 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/04
Mohsen Haji-Hassani Kargar
Mohsen Haji-Hassani Kargar aliyewakilisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kupata nafasi ya kwanza katika Mashindano ya 57 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia ameashiria nafasi na hadhi ya juu ya qiraa ya Qur'ani Tukufu katika Jamhuri ya Kiislamu.
Habari ID: 3314496 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/15
Mohsen Haji-Hassani Kargar
Mwakilishi wa Iran katika Mashindano ya 57 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia amesema maqarii au wasomaji wa Qur'ani Tukufu ni wahubiri wa Uislamu na wanapaswa kuendeleza malengo ya Qur'ani.
Habari ID: 3314406 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/15
Mohsen Haji-Hassani Kargar wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameibuka mshindi katika kitengo cha qiraa cha Mashindano ya 57 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Malaysia.
Habari ID: 3314400 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/15