TEHRAN (IQNA) – Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohammad amesema baadhi ya Waislamu hawana ufahamu sahihi wa Qur'ani na hivyo wanajihusisha na vitendo vilivyo kinyume cha mafundisho ya Uislamu.
Habari ID: 3471880 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/18
Waziri Mkuu Mahathir Mohamad
TEHRAN (IQNA)-Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohammad amesisitiza Jumatatu kuwa nchi yake inashikilia msimamo wake wa kuwazuia raia wa utawala haramu wa Israel kuingia nchini humo huku akiitaja Israel kuwa utawala wa kihalifu.
Habari ID: 3471824 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/29
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Fuwele (Crystal) au Masjid Kristal uko katika kisiwa cha Wan Man katika jimbo la Terengganu, nchini Malaysia.
Habari ID: 3471708 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/15
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Muhammad amesema nchi yake ina azma ya kuwa taifa la Kiislamu lenye kufuata mafundisho ya Qur’ani na Hadithi sahihi.
Habari ID: 3471616 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/02
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameipongeza Malaysia kwa kuondoa askari wake katika muungano wa kijeshi unoongozwa na Saudia ambao umekuwa ukiwashambulia wananchi wasio na ulinzi Yemen tokea mwaka 2015.
Habari ID: 3471577 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/30
KUALA LUMPUR (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya 60 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Malaysia wametangazwa leo Jumapili
Habari ID: 3471510 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/13
TEHRAN (IQNA)-Chama cha Barisan Nasional nchini Malaysia kimetangaza mpango wa kujenga Chuo Kikuu cha Qur'ani nchini humo ambapo watakaohitimu hapo watakuwa wamehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu na pia watakuwa wamepata utaalamu katika taaluma nyinginezo.
Habari ID: 3471459 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/09
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa masuala ya Familia na Wanawake Malaysia Seri Rohani Abdulkarim amekosoa hatu ya baadhi ya hoteli nchini humo kuwapiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa Hijabu wakiwa kazini.
Habari ID: 3471266 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/16
Msomi wa Malaysia
TEHRAN (IQNA)-Msomi mmoja nchini Malaysia amesema kuwa tafsiri potovu za Uislamu zimevuruga uthabiti katika nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Asia na kuongeza kuwa, chanzo cha tatizo hilo ni walimu waliosoma Uwahabbi unaonezwa na Saudi Arabia.
Habari ID: 3471149 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/30
TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Qur’ani kinatazamiwa kuanzishwa nchini Malaysia katika jimbo la Baling baada ya mbunge wa eneo hilo kuahidi kutenga ardhi ya hekari 12.8 kwa ajili ya mradi huo.
Habari ID: 3471134 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/21
TEHRAN (IQNA)-Mkurungenzi mmoja wa sanaa nchini Malaysia ameandaa Saa ya Qur’ani (#QuranHour) kwa lengo la kuwakumbusha walimwengu wote kuhusu mvuto wa mafundisho ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471109 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/07
TEHRAN (IQNA)-Jamii ndogo wa wanafunzi wenye ulemavu wa macho Malaysia wanajitahidi kuhifadhi Qur'ani kikamilifu kwa kutegemea misahafu iliyoandikwa kwa maandishi ya nukta nundu au Braille.
Habari ID: 3471015 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/10
IQNA-Malaysia imebuni kamati maalumu ya wasomi watakaochunguza usahihi wa hadithi zinazonasibishwa na Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3470646 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/01
Mjadala wa #tilljannah (hadi Jannah) maalumu kwa vijana wa kike Waislamu, umefanyika pembizoni mwa Mkutano wa Kilele wa Wanawake Waislamu mwaka 2016 huko Kuala Lumpur, Malaysia na kuwavutia washiriki takribani 500.
Habari ID: 3470579 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/25
Mashindano ya 58 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia yamemalizika kwa qarii wan chi hiyo kuchukua nafasi ya kwanza katika mashindano hayo.
Habari ID: 3470300 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/08
Qarii mashuhuri na mtajika wa Misri, Ustadh Dkt. Abdul Fattah Tarouti ametuma salamu zake za rambi rambi kufuatia kurejea kwa Mola wao maqarii hao wawili wa kimataifa waliokuwa wakitekeleza ibada ya Hija katika eneo la Mina karibu na mji mtakatifu wa Makkah.
Habari ID: 3372198 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/27
Qarii mashuhuri wa Iran aliokuwa katika msafara wa Qur'ani wa mahujaji amethibitishwa kuaga dunia kufuatia msongamano mkubwa wa mahujaji katika eneo la Mina karibu na mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3370739 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/26
Jimbo la Terengganu nchini Malaysia lina mpango wa kuanzisha chuo kikuu cha Qur’ani kwa mara ya kwanza nchini humo.
Habari ID: 3344933 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/16
Nakala ya Qur’ani Tukufu iliyofunikwa kwa plastiki imepatikana katika viswa vya Reunion Bahari ya Hindi na inaaminika kuwa inafungamana na mabaki ya ndege ya Malaysia iliyotoweka mwaka jana.
Habari ID: 3340026 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/08
Gazeti moja la Uingereza hivi karibuni limechapisha orodha ya misikiti 25 bora duniani kwa mtazamo wa usanifu majengo.
Habari ID: 3338961 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/04