iqna

IQNA

Nakala ya Qur’ani Tukufu iliyofunikwa kwa plastiki imepatikana katika viswa vya Reunion Bahari ya Hindi na inaaminika kuwa inafungamana na mabaki ya ndege ya Malaysia iliyotoweka mwaka jana.
Habari ID: 3340026    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/08

Gazeti moja la Uingereza hivi karibuni limechapisha orodha ya misikiti 25 bora duniani kwa mtazamo wa usanifu majengo.
Habari ID: 3338961    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/04

Mohsen Haji-Hassani Kargar
Mohsen Haji-Hassani Kargar aliyewakilisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kupata nafasi ya kwanza katika Mashindano ya 57 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia ameashiria nafasi na hadhi ya juu ya qiraa ya Qur'ani Tukufu katika Jamhuri ya Kiislamu.
Habari ID: 3314496    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/15

Mohsen Haji-Hassani Kargar
Mwakilishi wa Iran katika Mashindano ya 57 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Malaysia amesema maqarii au wasomaji wa Qur'ani Tukufu ni wahubiri wa Uislamu na wanapaswa kuendeleza malengo ya Qur'ani.
Habari ID: 3314406    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/15

Mohsen Haji-Hassani Kargar wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameibuka mshindi katika kitengo cha qiraa cha Mashindano ya 57 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Malaysia.
Habari ID: 3314400    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/15