iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Khitma ya Marehemu Hajj Sheikh Abdullahi Nassir Juma Bhalo, mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu na kiongozi wa kimaanawi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia Afrika Mashariki imefanyika katika Msikiti wa Imam Ja'far Sadiq AS katika Chuo Kikuu cha Al-Bayt AS katika mji mtakatifu wa Qum.
Habari ID: 3474817    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/17