iqna

IQNA

wanazuoni
Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu / 9
TEHRAN (IQNA) – Dk Fawzia al-Ashmawi alikuwa msomi wa Misri, mwandishi, mfasiri na mtarjumi. Alifanya kazi kama Profesa wa fasihi ya Kiarabu na ustaarabu wa Kiislamu katika Chuo Kikuu cha Geneva.
Habari ID: 3476199    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/05

Waislamu wa Yemen
TEHRAN (IQNA) – Wanazuoni wa Yemen wamesisitiza haja ya kuimarisha umoja wa Kiislamu, wakibainisha kwamba sikukuu ya kuzaliwa kwa Mtukufu Mtume (SAW) ni tukio la kukuza umoja.
Habari ID: 3475854    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/29

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umetoa mwito wa kupasishwa sheria ya kujinaisha na kupiga marufuku kuvunjiwa heshima matukufu ya dini mbalimbali duniani.
Habari ID: 3475402    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/20

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, kuiridhia Marekani au dola jengine lolote lile kwa ajili ya kuepukana na vikwazo ni kosa kubwa na pigo kwa nguvu za kisiasa.
Habari ID: 3475030    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/10

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia Ayatullah Mohammad-Reza Mahdavi Kani, Mkuu wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 1462701    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/21

Maulamaa na wanazuoni wanaoshiriki katika Kongamano la Kimataifa la 'Maulamaa wa Kiislamu Wanaounga Mkono Harakati ya Muqawama ya Wapalestina leo wamekwenda hospitalini hapa Tehran kumjulia hali Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 1448995    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/10