iqna

IQNA

indonesia
Harakati za Qur'ani
IQNA - Kitabu cha mwongozo cha kusoma nakala za nukta nundu (braille) za Qur'ani Tukufu kimezinduliwa nchini Indonesia.
Habari ID: 3478618    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/02

Ustamaduni
IQNA - Maafisa wa Indonesia wameweka jiwe na msingi na kuzindua ujenzi wa msikiti wa kwanza katika mji mkuu mpya wa nchi hiyo.
Habari ID: 3478214    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/18

Taazia
IQNA - Kamera ya usalama katika msikiti mmoja nchiniIndonesia ilirekodi wakati imamu alipoaga dunia wakati akiongoza sala ya asubuhi mnamo Januari 2, 2024.
Habari ID: 3478155    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/06

Mashindano ya Qur'ani
JAKARTA (IQNA) - Kituo cha Qur'ani chenye mfungamano na Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein (AS) nchini Iraq kimeandaa mashindano ya kuhifadhi Qur’ani Tukufu nchini Indonesia, na ku wahifadhi 200 kutoka kote nchini.
Habari ID: 3477802    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/28

Diplomasia
TEHRAN (IQNA)- Seyyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran na Indonesia zina mitazamo ya pamoja kuhusu masuala ya kieneo na kimataifa na akabainisha kuwa nchi hizo mbili zimeshikamana na msimamo thabiti katika kuunga mkono haki za wananchi wa Palestina hadi Quds tukufu itakapokombolewa
Habari ID: 3477033    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/23

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeitisha mkutano wa dharura kujadili hali ilivyo katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, baada ya askari wa utawala haramu wa Israel kuvamia Msikiti wa al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) na kuwalenga waumini wa Kipalestina kwa guruneti.
Habari ID: 3476827    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/07

Maafa
TEHRAN (IQNA) – Kuba kubwa la Msikiti Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Jakarta nchini Indonesia liliporomoka kufuatia moto mkubwa.
Habari ID: 3475962    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/21

Mwisho Mwema (Khusnul Khatimah)
TEHRAN (IQNA) – Video imesambaa mitandaoni inayomuonyesha mwanamke wa Indonesia akianguka wakati akisoma aya za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3475817    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/21

Waislamu duniani
TEHRAN (IQNA) - Rais mpya wa Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) aliteuliwa.
Habari ID: 3475765    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/11

Waislamu na michezo
TEHRAN (IQNA)- Mesut Ozil, mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya soka ya Ujerumani, alihudhuria sala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Istiqlal katika mji mkuu wa Indonesia Jakarta.
Habari ID: 3475305    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/28

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Darul Qur’an cha Jakarta, Indonesia kinachofadhiliwa na Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein AS kimeanza tena masomo ya Qur’ani ya ana kwa ana.
Habari ID: 3474592    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/23

TEHRAN (IQNA) Maimamu 15 kutoka Indonesia wamewasili Umoja wa Falme za Kiarabu kwa ajili ya kuswalisha na kutoa hotuba katika misikiti kote katika nchi hiyo.
Habari ID: 3474505    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/02

TEHRAN (IQNA)- Dua Tawwasul ni kati ya dua zenye fadhila ambazo zimenukuliwa katika kitabu cha Biharul Anwar cha Allamah Majlisi.
Habari ID: 3474267    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/07

TEHRAN (IQNA)- Msahafu wenye kuvunja rekodi kwa ukubwa wake umewekwa katika maonyesho katika mji mkuu wa Indonesia, Jakarta.
Habari ID: 3473863    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/30

TEHRAN (IQNA) – Mskiti wa Agung Sudirman (Masjid Agung Sudirman) ni msikiti wenye mvuto na mandhari ya kuvutia katika mji wa Denpasar, ambao ni mji mkuu wa jimbo la Bali, nchini Indonesia.
Habari ID: 3473539    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/09

TEHRAN (IQNA) – Indoneisa imekanusha ripoti kuwa iko tayari kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala bandia wa Israel.
Habari ID: 3473487    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/24

TEHRAN (IQNA) – Masjid Tiban msikiti maridadi na wenye mvuto katika mji wa Malang nchini Indonesia.
Habari ID: 3473349    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/11

TEHRAN (IQNA)- Rais Joko Widodo wa Indonesia amelaani kauli ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa dhidi ya Uislamu na kusema mtawala huyo amewatusi Waislamu wote duniani.
Habari ID: 3473316    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/01

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Indonesia imeanzisha jitihada za kuhakikisha chanjo COVID-19 itakayotumika nchini humo ni Halali, yaani haitakuwa na mada ambazo ni kinyume cha mafundisho ya Uislamu.
Habari ID: 3473253    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/12

TEHRAN (IQNA) – Wakimbizi 300 Warohingya wamewasilia Indonesia mapema Jumatatu na kusema wamekuwa baharini kwa muda wa miezi saba.
Habari ID: 3473147    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/07