Waislamu duniani
TEHRAN (IQNA) - Rais mpya wa Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) aliteuliwa.
Habari ID: 3475765 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/11
Waislamu na michezo
TEHRAN (IQNA)- Mesut Ozil, mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya soka ya Ujerumani, alihudhuria sala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Istiqlal katika mji mkuu wa Indonesia Jakarta.
Habari ID: 3475305 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/28
TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Darul Qur’an cha Jakarta, Indonesia kinachofadhiliwa na Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein AS kimeanza tena masomo ya Qur’ani ya ana kwa ana.
Habari ID: 3474592 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/23
TEHRAN (IQNA) Maimamu 15 kutoka Indonesia wamewasili Umoja wa Falme za Kiarabu kwa ajili ya kuswalisha na kutoa hotuba katika misikiti kote katika nchi hiyo.
Habari ID: 3474505 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/02
TEHRAN (IQNA)- Dua Tawwasul ni kati ya dua zenye fadhila ambazo zimenukuliwa katika kitabu cha Biharul Anwar cha Allamah Majlisi.
Habari ID: 3474267 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/07
TEHRAN (IQNA)- Msahafu wenye kuvunja rekodi kwa ukubwa wake umewekwa katika maonyesho katika mji mkuu wa Indonesia, Jakarta.
Habari ID: 3473863 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/30
TEHRAN (IQNA) – Mskiti wa Agung Sudirman (Masjid Agung Sudirman) ni msikiti wenye mvuto na mandhari ya kuvutia katika mji wa Denpasar, ambao ni mji mkuu wa jimbo la Bali, nchini Indonesia.
Habari ID: 3473539 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/09
TEHRAN (IQNA) – Indoneisa imekanusha ripoti kuwa iko tayari kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala bandia wa Israel.
Habari ID: 3473487 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/24
TEHRAN (IQNA) – Masjid Tiban msikiti maridadi na wenye mvuto katika mji wa Malang nchini Indonesia.
Habari ID: 3473349 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/11
TEHRAN (IQNA)- Rais Joko Widodo wa Indonesia amelaani kauli ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa dhidi ya Uislamu na kusema mtawala huyo amewatusi Waislamu wote duniani.
Habari ID: 3473316 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/01
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Indonesia imeanzisha jitihada za kuhakikisha chanjo COVID-19 itakayotumika nchini humo ni Halali, yaani haitakuwa na mada ambazo ni kinyume cha mafundisho ya Uislamu.
Habari ID: 3473253 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/12
TEHRAN (IQNA) – Wakimbizi 300 Warohingya wamewasilia Indonesia mapema Jumatatu na kusema wamekuwa baharini kwa muda wa miezi saba.
Habari ID: 3473147 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/07
TEHRAN (IQNA) –Misikiti katika mji mkuu wa Indonesia, Jakarta, imefunguliwa Ijumaa kwa mara ya kwanza baada ya takribani miezi mitatu, huku nchi hiyo ikianza zuio ambalo limekuwepo ili kupunguza kasi ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472838 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/05
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Indonesia imesema raia wa nchi hiyo mwaka huu hawataweza kutekeleza Ibada ya Hija kutokana na hofu ya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472827 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/02
TEHRAN (IQNA) – Utawala wa jimbo la Java Mashariki nchini Indonesia umebatilisha idhini ya Sala ya Idul Fitr katika Msikiti wa Al Akbar mjini Surabaya baada ya wataalamu kuonya kuhusu matokeo mabaya ya mjumuiko wa watu wengi wakati wa kipindi hiki cha janga la COVID-19.
Habari ID: 3472780 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/19
TEHRAN (IQNA) – Baadhi ya misikiti imekaidi amri ya serikali ya nchi hiyo kuzuia kwa muda sala za jamaa katika misikiti ili kukabiliana na ugonjwa ambukizi wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472768 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/15
TEHRAN (IQNA) -Rais Joko Widodo wa Indonesia ametangaza hali ya hatari kitaifa nchini humo kufuatia kuenea ugojwa wa COVID-19 au corona huku akitangaza hatua za kuwasiadia watu wenye kipato cha chini.
Habari ID: 3472619 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/31
TEHRAN (IQNA) – Uongozi wa mkoa wa Aceh nchini Indonesia umepitisha sheria ya kuzitaka stesheni zote za televisheni na radio nchini humo kurusha hewani adhana ukiwadia wakati wa sala.
Habari ID: 3472385 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/19
TEHRAN (IQNA) - Vyuo vikuu vya umma nchini Indonesia vimetangaza kuwa vijana waliohifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu wanaweza kuingia katika vyuo vikuu pasina kufanya mtihani wa kawaida unaohitajika kuingia chuo kikuu.
Habari ID: 3472032 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/04
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Muungano wa Wasomaji na Waliohifadhi Qur'ani nchini Indonesia amesema hivi sasa kuna vituo 23,000 vya kufunza Qur'ani katika nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Asia.
Habari ID: 3472003 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/16