Tarehe 28 Septemba mwaka huu, Kisiwa cha Sulawesi nchini Indonesia kilikumbwa na zilzala au mtetemeko mkubwa wa ardhi ambao uliibua mawimbi ya baharaini maarufu kama Tsunani na kusababisha uharibifu mkubwa na watu zaidi ya 2000 kupoteza maisha.
Habari ID: 3471704 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/09
TEHRAN (IQNA) – Wagombea ubunge katika mji la Lhokseumawe katika jimbo la Acheh nchini Indonesia wameshiriki katika mtihani wa kusoma Qur'ani Tukufu kama sharti la kushiriki katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2019.
Habari ID: 3471597 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/17
TEHRAN (IQNA)-Indonesia imetangza mpango wa kuzindia misikiti 1,000 ya 'kijani' kwa maana kuwa kwa maana kuwa ujenzi na utumizi wake umezingatia utunzwaji mazingira.
Habari ID: 3471268 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/18
TEHRAN (IQNA)-Bi. Baiq Mariah kutoka Indonesia ametmabuliwa kuwa Hujaji mwenye umri wa juu zaidi mwaka huu.
Habari ID: 3471144 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/27
TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Syarif Hidayatullah mjini Jakarta, Indonesia kimepanga kuandaa kongamano la kimataifa la Qur’ani na Hadithi baadaye mwaka huu.
Habari ID: 3471127 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/17
TEHRAN (IQNA)-Kwa hakika hatujui ni wapi na ni lini mauti yatatufikia, hiyo ni siri ya Mola Muumba, Allah SWT.
Habari ID: 3470953 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/27
IQNA: Kongamano la Pili la Kimataifa la "Elimu ya Kiislamu na Utafiti wa Qur'ani na Hadithi za Mtume SAW" limepangwa kufanyika mjini Mataram, Indonesia Machi 2017.
Habari ID: 3470762 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/26
Wanaowania kugombea ugavana na unaibu gavana katika jimbo la Aceh nchini Indonesia wametahiniwa kuhusu uwezo wao wa kusoma Qur'ani kama sharti la kushiriki uchaguzi wa 2017.
Habari ID: 3470590 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/01
Shirika la moja la mafuta nchini Indonesia linawapa wenye magari petroli ya bure katika mji mkuu Jakarta kwa sharti la kusoma aya za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3470395 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/18
Mkutano wa Kimataifa wa Vyombo vya Habari vya Kiislamu (ICIM) umefunguliwa Jumatano nchini Indonesia.
Habari ID: 3470339 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/26
Serikali ya Indonesia imesema siku kadhaa baada ya maafa ya Mina, utawala wa Saudi Arabia umeizuia nchi yake kuwatambua au kutoa msaada wa kitiba kwa raia wake.
Habari ID: 3375825 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/30
Kongamano la kimataifa la "Uislamu, Rehema kwa Dunia" litafanyika Jakarta, Indonesia kuanzia Oktoba 13-16.
Habari ID: 3360473 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/08