IQNA – Ibada ya Hija ni fursa adhimu kwa wasomaji wa Qur'ani kutoka nchi mbalimbali za Kiislamu kukutana, kushirikiana na kunufaika na tajiriba za wenzao, amesema Qari mmoja kutoka Iran.
Habari ID: 3480771 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/01
IQNA – Mwanazuoni wa Kiislamu kutoka Iran amepinga madai kwamba Waislamu wa madhehebu ya Shia hawana uhusiano wa karibu na Qur'ani Tukufu huku akiyataja madai kama hayo kuwa ni uzushi wa muda mrefu unaoenezwa na maadui wa Uislamu.
Habari ID: 3480707 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/19
IQNA – Omid Reza Rahimi ni qari mwenye ulemavu wa macho ambaye amehifadhi Qur'ani ambaye ni mwanachama wa Msafara wa Qur'ani wa Nur (Noor) kutoka Iran, ambao ni ujumbe wa wasomaji Qur'ani katika ibada ya Hija.
Habari ID: 3480699 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/18
IQNA – Msafara wa Qur'ani wa Nur (Noor) kutoka Iran, ambao ni ujumbe wa wasomaji Qur'ani, unajiandaa kuendesha zaidi ya matukio 220 ya Qur'ani wakati wa ibada ya Hija ya mwaka huu wa 1446 Hijria (2025) katika miji mitakatifu ya Makka na Madina.
Habari ID: 3480682 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/13
IQNA - Wanachama wa kike wa Msafara wa Qur'ani wa Arbaeen wa Iran, unaojulikana kama Msafara wa Noor, wameanza kuandaa programu za Qur'ani kwa ajili ya mazuwar.
Habari ID: 3479300 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/19
Hija 1445
IQNA - Wajumbe wa msafara wa Qur'ani wa Iran walioko Makka wamesem Qur'ani Tukufu nje ya Msikiti Mtakatifu wa Makka.
Kila mwaka mamilioni ya Waislamu kutoka duniani kote hukusanyika Makka kwa ajili ya Hija ya kila mwaka.
Habari ID: 3478918 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/02
Hija 1435
IQNA - Duru ya tano ya kikao cha qiraa ya Qur'ani Tukufu iliyohudhuriwa na wajumbe wa Msafara wa Nur wa Qur'ani kutokaIran, imefanyika katika mji mtakatifu wa Madina.
Habari ID: 3478906 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/31
Hija na Qur'ani
IQNA – Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu hivu karibuni amekutana na wajumbe wa msafara wa Qur’ani wa Hija wa Iran, akawausia kuwahimiza Mahujaji kutafakari aya za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3478799 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/10
Hija
IQNA - Wanachama wa msafara wa Qur'ani wa Iran kwa ajili ya Hija mwaka huu wataondoka kuelekea Saudi Arabia Mei 15.
Hayo yametangazwa wakati wa mkutano uliofanyika mjini Tehran siku ya Jumapili ili kuufahamisha msafara huo kuhusu misheni na shughuli zao wakati wa mahujaji wa Hija.
Habari ID: 3478749 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/29
Ibada ya Hija 1444
Kundi la maqari (wasomaji Qur'ani Tukufu) wa Iran huko Makka nchini Saudi Arabia katika vikao vinavyohudhuriwa na Mashia na Masunni ili kuendeleza zaidi umoja kati ya Waislamu.
Habari ID: 3477129 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/10
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Ofisi ya Mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Hija imeandaa mahafali za qiraa ya Qur’ani Tukufu katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3475513 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/17