IQNA

Hija 1445

Wajumbe wa Msafara wa Nur wa Iran wasoma Qur'ani pamoja mjini Makka (+Video)

21:34 - June 02, 2024
Habari ID: 3478918
IQNA - Wajumbe wa msafara wa Qur'ani wa Iran walioko Makka wamesem Qur'ani Tukufu nje ya Msikiti Mtakatifu wa Makka. Kila mwaka mamilioni ya Waislamu kutoka duniani kote hukusanyika Makka kwa ajili ya Hija ya kila mwaka.

Iran inatuma mahujaji zaidi ya 80,000 pamoja na kundi la wanaharakati wa Qur'ani, wanaojulikana kama Msafara wa Qur'ani wa Nur Katika Hija.
Msafara huo unaprogramu za Qur'ani, ikiwa ni pamoja na vikao ya kusoma Qur'ani kwa ajili ya Mahujaji katika miji mitakatifu ya Makka na Madina.

4219521

Kishikizo: msafara wa nur hija
captcha