taqwa

IQNA

Mawaidha
IQNA – Taqwa (Kumcha Mungu) ni aina ya ulinzi maalum wa Nafs au Nafsi ambao pia huitwa kulinda eneo takatifu la Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3478224   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/20

Tehran (IQNA) - Kufunga au Saumukatika Uislamu sio tu husaidia kuimarisha utendaji kazi wa sehemu tofauti za mwili lakini pia husafisha na kutakasa Batini (mwelekeo wa kiroho).
Habari ID: 3476887   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/18

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Hisia ya woga huja mtu anapokutana na hali ya hatari au ya kutisha. Lakini maandiko ya kidini pia yanazungumzia kuhusu kumuogopa Mwenyezi Mungu. Hofu ina maana gani hapa ilhali Mwenyezi Mungu ameelezwa kuwa ni Mwenye Huruma na Mwenye kurehemu?
Habari ID: 3475738   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/05