Qari Mashuhuri
        
        IQNA - Wale wanaopenda usomaji wa Qur’ani Tukufu wa marehemu qari wa Misri Muhammad Sidiq Minshawi wanamtaja kama mfalme wa Maqam ya Nahawand.
                Habari ID: 3478229               Tarehe ya kuchapishwa            : 2024/01/21
            
                        Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /4
        
        TEHRAN (IQNA)- Qarii maarufu wa Qur’ani kutoka Misri,marhum Ustadh Sidiq Minshawi alikuwa na qiraa ambayo imedumu na inaendelea kuwavutia mamilioni hadi leo.
                Habari ID: 3475818               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/09/21