Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- India imeipiga marufuku harakati mashuhuri ya Kiislamu nchini humo ya PFI, ikiwa ni muendelezo wa serikali ya New Delhi ya kufuata sera ya kukanyaga na kupuuza haki za Waislamu walio wachache katika nchi hiyo.
Habari ID: 3475852 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/29