mashindano ya qurani - Ukurasa 31

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Ustadh Twahir Ali Alwi kutoka Kenya ameibuka mashindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur'ani ya Zanzibar.
Habari ID: 3471536   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/29

TEHRAN (IQNA)- Mashidano ya Kimataifa ya 19 ya Kuhifadhi Qur'ani ya Tazania yamefanyija Jumapili katika mji mkuu wa nchi hiyo Dar-es-Salaam.
Habari ID: 3471535   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/28

TEHRAN (IQNA)- Duru ya 7 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani maalumu kwa walemavu yamepangwa kufanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuanzia Mei 27-31.
Habari ID: 3471532   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/26

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tanzania yanatazamiwa kufanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mjini Dar es Salaam.
Habari ID: 3471529   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/24

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 6 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Uturuki yameanza Jumapili mjini Istanbul.
Habari ID: 3471525   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/21

TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri kinapanga mashindano ya Qur'ani maalumu kwa wanachuo wa kigeni chuoni hapo.
Habari ID: 3471519   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/19

TEHRAN (IQNA)- Taasisi katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeandaa mashindano ya Tarteel ya Qur'ani Tukufu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani maalumu kwa waliosilimu.
Habari ID: 3471514   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/15

KUALA LUMPUR (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya 60 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Malaysia wametangazwa leo Jumapili
Habari ID: 3471510   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/13

KUALA LUMPUR (IQNA)- Mashindano ya 60 ya Kimataifa ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani Tukufu ya Malaysia yameanza Jumatatu katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiislamu kusini mashariki mwa Asia.
Habari ID: 3471501   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/08

TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Ghana kimeandaa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qur'ani pamoja na adhana.
Habari ID: 3471496   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/05

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur’ani ya kimataifa yanayofanyika kwa njia ya moja kwa moja kupitia Televisheni ya Al Kauthar ya Iran yamepangwa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani siku chache zijazo.
Habari ID: 3471494   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/05

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Mashindano ya Sita ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanachuo Waislamu wametangazwa leo Jumapili.
Habari ID: 3471488   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/29

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kusoma na Kuhifadhi Qur'ani ya eneo la Amerika Kaskazini yamepenga kufanyika wiki Ijayo nchini Marekani.
Habari ID: 3471487   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/29

TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambayo imekuwa mwenyeji wa duru kadhaa za mashindano ya Qur'ani ya wanafunzi Waislamu katika vyuo vikuu duniani inahimiza nchi zingine za Kiislamu ziandae duru zijazo za mashindano hayo.
Habari ID: 3471486   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/28

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeendelea kusimama imara mbele ya dhulma za madola ya kibeberu na kiistikbari kwa kipindi cha miaka 40 sasa na imeendelea kupata maendeleo, uwezo na nguvu zaidi licha ya vinyongo vya maadui wanaotaka kuangamiza mfumo huo wa Kiislamu.
Habari ID: 3471483   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/26

TEHRAN (IQNA)-Binti Mtanzania, Ashura Amani Lilanga, ameshika nafasi tatu katika Mashindano ya Tatu Kimataifa ya Qur’ani ya Wanawake katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3471482   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/26

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya Kusoma na Kuhifadhi Qur’ani Tukufu ya Iran yamemalizika rasmi Jumatano kwa kutunukiwa zawadi washindi.
Habari ID: 3471481   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/25

TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya pili ya Kimataifa ya Qur'ani ya wanafunzi wa vyuo vya kidini (Hawza) wametangazwa katika sherehe iliyofanyika Jumapili.
Habari ID: 3471480   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/25

TEHRAN (IQNA)-Washiriki 44 wamefuzu katika fainali ya Mashindano ya 6 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanafunzi Waislamu katika vyuo vikuu vya nchi mbali mbali duniani.
Habari ID: 3471479   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/24

TEHRAN (IQNA)- Jopo la majaji katika Mashindano ya 35 ya Kimatiafa ya Qur'ani ya Iran limetangaza majina ya waliofika fainali katika kategoria wanaume waliohifadhi Qur'ani kikamifliu katika mashindano hayo.
Habari ID: 3471478   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/23