mashindano ya qurani - Ukurasa 30

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Fainali za Mashindano ya 36 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu zimepangwa kuanza mjini Tehran kuanzia Aprili 10.
Habari ID: 3471831   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/05

TEHRAN (IQNA)-Fainali ya Mashindano ya 22 ya Qur'ani ya Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yameanza mjini humo Ijumaa.
Habari ID: 3471819   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/26

TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar kimetangaza masharti kwa wanaotaka kushiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani yanayaondaliwa na chuo hicho katika mwaka huu wa 1440 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3471796   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/03

TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Tunisia wametangazwa na kutunukiwa zawadi zao.
Habari ID: 3471772   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/15

TEHRAN (IQNA)- Usajili umeanza kwa wanaotaka kushiriki katika duru ya 20 ya mashindano ya kimataifa ya Dubai nchini UAE ambayo rasmi yanajulikana kama Mashindano ya Qur'ani ya Sheikha Hind Bint Makhtoum.
Habari ID: 3471768   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/12

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Duru ya pili ya Mashindano ya Qur'ani ya Majeshi ya Iraq wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika Jumanne.
Habari ID: 3471754   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/28

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani ya walemavu wa macho yamemalizika Jumapili mjini Tehran kwa kuteuliwa wawakilishi wa Iran katika Awamu ya Nne ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Walemavu wa Macho.
Habari ID: 3471731   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/06

TEHRAN (IQNA)- Awamu ya tatu ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani maalumu kwa wanawake yameanza Jumapili mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3471730   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/05

TEHRAN (IQNA)- Qarii (msomaji wa Qur'ani) ameibuka mshindi katika Mashindano ya 25 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Croatia yaliyomalizika Jumamosi.
Habari ID: 3471697   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/30

TEHRAN (IQNA) –Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza masharti kwa wale wanaotaka kushiriki katika Duru ya 4 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Walemavu wa Macho.
Habari ID: 3471659   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/04

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kwanza ya Kuhifadhi Qur’ani Maalumu kwa ajiliya Waalimu wa shule katika mji wa Nairobi yamefanyika.
Habari ID: 3471613   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/31

TEHRAN (IQNA)-Binti Aisha Nikuze amekuwa msichana wa kwanza kufika katika fainali ya Mashindano ya 7 Kimataifa ya Qur'ani ya Rwanda yaliyofanyika mwezi uliopita.
Habari ID: 3471588   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/09

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 15 ya Qur'ani ya watoto na mabarobaro yamefanyika mjini Hamburg nchini Ujerumani wiki hii.
Habari ID: 3471585   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/06

TEHRAN (IQNA)-Hafidh wa Qur’ani mwenye ulemavu wa macho amesema kuhifadhi Qur’ani Tukufu huwasaidia wenye ulemavu wa macho kuishi maisha mazuri.
Habari ID: 3471582   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/04

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 7 Kimataifa ya Kuhifadhi Qur'ani ya Rwanda yamemalizika Jumamosi ambapo mshindi alikuwa Maazu Ibrahim Muadh wa Niger ambaye aliwashinda washiriki 42 kutoka nchi 17 za Afrika.
Habari ID: 3471572   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/25

TEHRAN (IQNA)- Qarii wa Qur’ani kutoka Iran, Ustadh Ali Asghar Shoaei, ameibuka mshindi katika duru ya 11 ya Mashindano ya Qur’ani ya mubashara kupitia Televisheni ya Kimataifa ya Al Kawthar.
Habari ID: 3471561   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/16

TEHRAN (IQNA)- Mmarekani Ahmad Burhan ametangazwa mshindani wa Mashindano ya 22 ya Kuhifadhi Qur’ani ya Dubai.
Habari ID: 3471545   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/06

TEHRAN (IQNA)- Mshindi katika Mashindano ya Kuhifadhi Qur'ani ya eneo la Somaliland nchini Somalia ametunukiwa zawadi ya gari.
Habari ID: 3471542   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/03

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Mashindano ya 15 ya Qur'ani Tukufu ya Lagos nchini Nigeria wametunukiwa zawadi huku Waislamu nchini humo wakitahadahrishwa kuhusu athari mbaya za mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3471541   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/03

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qur'ani nchini Sierra Leonne wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha Iran katika mji mkuu wa nchi hiyo, Freetown
Habari ID: 3471538   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/31